Asije mtu akawadanganya kuhusu nguva

Asije mtu akawadanganya kuhusu nguva

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,223
Reaction score
2,976
Huyu ndio nguva halisi
FB_IMG_15988827300854675.jpg
 
Hawa wazee wetu wa zamani walikuwa waongo sana,,
Wametudanganya mengi sn,,ikiwemo uhalisia wa nguva..
Zeruzeru,,
Vibwengo..nk

hahaha[emoji1787] vibwengo ndio kwa kiingereza wanaita Leprechaun. ila tofauti ni kwamba cha bongo kinakuuliza “umenionea wapi ?” ila cha kizungu ukikikamata kinakupa nafasi ya kuchagua wish 3 ili kiku grant
 
Hivyo vibwengo ni fikirishi tu mkuu,,dihani kama vipo kweli

ni kweli havipo mkuu,ila Tz kuna mauza uza mengi sana huku.kuna sehemu fulani porini ukipita unahisi joto lile la jiko la mkaa yani unakua kama unaungua kabisa,ila ukifika hatua kama kumi mbele unajiskia sawa.kila siku ukipita hapo unahisi hivo
 
Acha uwongo Nguva ni marmaid kwa kingereza.

Yeye ni Myth Creature ni kiumbe wa kufikirika au kutunga tu ambaye hayupo kweli duniani...kiumbile chini samaki juu binadamu.

Nimesema ni Myth.

Labda utuambie uyo dubwasha uliyemuweka hapo ukamwita nguva kwa kiingereza anaitwaje.
 
Back
Top Bottom