Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

Kakondele

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
225
193
Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu ya kuuza ni kutokana na matatizo yaliyotokana na benki kama unataka picha na info zaidi naomba tuwasiliane
email.alexkakondele@gmail.com
phone.0765032151
 
Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi
email.alexkakondele@gmail.com
phone.0765032151

Unamaanisha hilo gari linauzwa chini ya dola moja??
 
kaka hii ni issue muhimu tafadhari weka picha pamoja na tentative price ili tuangalie
 
kama uko serious ndio maana nimeweka mawasiliano yangu hapo picha nimeshindwa kuweka hata kama upo whatsapp au kwa email itakuwa rahisi kutuma picha
 
Kama kweli ni zuri na liko katika hali nzuri kwa nini liuzwe bei rahisi? Usituletee biashara za kichaga hapa
 
kama uko serious ndio maana nimeweka mawasiliano yangu hapo picha nimeshindwa kuweka hata kama upo whatsapp au kwa email itakuwa rahisi kutuma picha

Bei muhimu?
Na hujasema Odometer, Reg. Number, CC
 
Kama kweli ni zuri na liko katika hali nzuri kwa nini liuzwe bei rahisi? Usituletee biashara za kichaga hapa

#Bongani wewe inaonekana wazi hujui kabisa biashara ya mabasi ni afadhali ukae kimya kuliko kumkejeli mtu kwa kitu usichokijua
 
Bei muhimu?
Na hujasema Odometer, Reg. Number, CC

Scania 113, 320Hp, imefungwa terias tayari!!!!!
Waweza kuta mashine ya mtumba hapo odo hupati!!!!
Reg number yaweza kuwa gumashi pia, limetumika sana nchi jirani kwa mfano likija hapa CVX upo hapo kaka!!!!

Gari kubwa ni kuona na majaribio ya kiufundi!!!!
 
Basi lenye Terias injini
ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo
katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai
kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza
kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu ya kuuza
ni kutokana na matatizo yaliyotokana na benki kama unataka picha na info
zaidi naomba tuwasiliane
email.alexkakondele@gmail.com
phone.0765032151

shuka bei kidogo tufanye biashara. linaweza kaguliwa lini?
 
Mabasi ya yutong ZK616D au f11 yenye injini ya cummnis,axle ya mbele pamoja na diff ni scania,gear box ya gia sita nayo ni ya scania hivyo kuzifanya kuweza kuhimili mikiki yote ya barabarani na kuwa na nguvu zaidi hizi gari zinatembea na hazina matatizo pia kuna moja injini ni pure cummnis.gari zote zinatembea na hazina matatizo sababu ya kuziuza ni kuachia nafasi kwa ajili ya gari mpya zitakazoingia mwisho wa mwezi bei ya kila gari ni milioni themanini na tano (85,000,000)
kwa mawasiliano
0765032151
kwa sasa zimebaki gari mbili tu mbili zimeshachukuliwa
 

Attachments

  • IMG-20140912-WA0001.jpg
    IMG-20140912-WA0001.jpg
    168.1 KB · Views: 579
  • IMG-20140912-WA0026.jpg
    IMG-20140912-WA0026.jpg
    80.3 KB · Views: 548
Back
Top Bottom