Ashakumu simatusi!

Ashakumu simatusi!

Geneous D

Member
Joined
May 18, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Kulikuwana jamaa mmoja aliekuwa anadai pesa yake, siku moja alinishangaza sana, MDAIWA-nivumilie leo tu kesho mimi nitakukulipa deni langu lote, CHAKUSHANGAZA, Mdai ashakumu simatusi, unagongwa sana? ninakupa msaa mawili kabla sija kuitia polisi.

JE WEWE UNGEKUWA MDAIWA UNGEFANYAJE?
 
Kulikuwana jamaa mmoja aliekuwa anadai pesa yake,siku moja alinishangaza sana,MDAIWA-nivumilie leo tu kesho mimi nitakukulipa deni langu lote,CHAKUSHANGAZA...
  • Endelea, umetuacha njia panda.
 
Kulikuwana jamaa mmoja aliekuwa anadai pesa yake,siku moja alinishangaza sana,MDAIWA-nivumilie leo tu kesho mimi nitakukulipa deni langu lote,CHAKUSHANGAZA,Mdai ashakumu simatusi,unagongwa sana?,ninakupa msaa mawili kabla sija kuitia polisi.JE WEWE UNGEKUWA MDAIWA UNGEFANYAJE?

maana yake na yeye kapewa masaa mawili na ma don wengine...kauze kiwanja mpe hela yake...
 
mm ni dk. hapa mirembe mwanafunzi wangu rudi darasani tafadhali maana unawasumbua raia huko uraiani
 
ana handwritting mbaya hata haeleweki ameandika nn du!!
 
Una maana gani? Yaan nini ulitaka maanisha au txt imeishia katikati

Dubwasha!!
 
Back
Top Bottom