Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Ashakum si matusi Mods
Ashakum si matusi wewe unayesoma uzi huu yoo
Jamani dada zangu huu mtindo wenu wa kuonesha mstari wa matiti na matiti kwa juu sasa hv hailipi na hamuuzi tena,sasa onesheni mstari wa makalio au makalio kabisa humo njiani,si mnaona kuwa sex lazima muwe uchi??acheni kuiga iga mambo ya wazungu sisi tuna tamaduni zetu bwana,acheni hayo mambo ya kukaa kaa uchi haipendezi kuiga iga ujinga yoo nani aliwaambia hamui sex mpaka muwe uchi??badilikeniii yoo...
Nadhani ulimaanisha kuwa sexy...sio sex.
Mbona hata hiyo ya kuonesha kimstari cha **** ipo hujakutana nayo tu..tena utakuta mtu kapanga msururu wa shanga..na ki-bik*n chake hana taarifa..na kishati chake kifupi. Akipanda ki-hiace ndo wanaume mnapojibeba...Hiyo ya kuachia mstari wa maziwa ni kwasababu ya joto ndo maana wanaachia kupata hewa kidogo..:eyebrows:
great sinker is sinking
kapigwe mswaki upate kifungua kinywa afu uje uandae sredi yako
Imekuwaje tena Mkuu? KUna watu watakuchukia sana kwa andiko hiliAshakum si matusi Mods
Ashakum si matusi wewe unayesoma uzi huu yoo
Jamani dada zangu huu mtindo wenu wa kuonesha mstari wa matiti na matiti kwa juu sasa hv hailipi na hamuuzi tena,sasa onesheni mstari wa makalio au makalio kabisa humo njiani,si mnaona kuwa sexy lazima muwe uchi??acheni kuiga iga mambo ya wazungu sisi tuna tamaduni zetu bwana,acheni hayo mambo ya kukaa kaa uchi haipendezi kuiga iga ujinga yoo nani aliwaambia hamui sexy mpaka muwe uchi??badilikeniii yoo...
Inaonekana we una uzoefu sana na hiyo kituRack hizo..... Ustishike rack nyingi mjini zimefosiwa kupigwa jeki. Ukimnyang'anya hiyo jeki mbona tunakimbiana mjini.. Maporomoko...
usintafutie ban yoo
Kweli dada zetu mbadilike mnajidhalilisha sana,Tena siku hizi wana vi-jeans vimebinuka kwa nyuma yaani ufito wa bikini wote nje,tena wengine tupo nao humu humu maofisini na wanafamilia zao kabisa.Sasa kama ni biashara matangazo si ukamtangazie mumeo kwenu au boyfriend wako mkiwa peke yenu.Yaani mimi huwa nawadharau kweli wamuundo huu!!