William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Lakini mkuu, mbona kama kweli kulikuwa na nchi hazikufurahi na uteuzi wa Asha Rose Migiro?? Hebu nielimishe kidogo
- Hizi dataz zako hazina ukweli wowote, Mama Miigiro na Baki-moon ni damu damu sana, haendi kokote yupo UN mpaka katibu wake atakapotoka, wabongo UN walidhani kwamba kwa sababu mbongo ameingia basi watapanda vyeo na kutesa kama vile siasa za bongo,
- Kumbe huko UN kuna miongozo ya sheria sasa ndio wamebaki kumzushia maneno ya uongo kila kukicha aibuu, inatia kichefu chefu sana kwa tunaoujua ukweli na tunaowajua wanaozusha haya maneno ya uongo na majungu! Mimi ninayo mpaka barua ya majungu aliyoiandika mtu mmoja huko UN na kunipa niiweke kwenye mitandao ili kumchafua huyu mama, wabongo bwana hata nje bado roho za kimasikini tu!
Respect.
FMEs!
Migiro is very weak in terms of leadership capacity. She was about to be dropped and sent home from the UN post last year if not pleaded by the Government of URT supported UK Government on condition that MIGIRO's term be extend for one year only (2009) instead of 2 years. So she will be back on her early retirement to Dar next year.
She has failed the UN and Tanzania.
Please do not count on her.
Like Kikwete, Migiro is another 'uchochoro' and the fertile facility for Mafisadis, period.
I have some friends in the UN system who are faily at senior positions. Their views on both Ban Kin Moon and his deputy Asha Rose Migiro is that these two are not up to their tasks. Migiro is particularly criticized for not being dicisive even on matters that are routine. As a leader you cannot shy away from taking decisions just because issues at hand are contraversial. A leader should be bold enough to take decisions even if they are not palatable to the led. With this background I tend to share the view that M/s Asha Migiro is a weakling who cannot manage the current crisis facing our country. Tanzania needs a no nonsense leader at this particular juncture.
Sasa kama yeye anasurvive kwa sababu ni damu damu na
moon yeye anashindwaje kuwa damu damu na watanzania wenzake? Mimi nilidhani utasema kuwa yuko pale kwa sababu ya competence zake kumbe ni ushikaji mtake radhi!
Lakini mkuu nakuaminia kwa kuwa karibu na viongozi habu nipe siri ya kuwa karibu nao( mimi nataka mafisdadi hasa)
Hi I am interested on this. I (we) need more data please.Migiro is very weak in terms of leadership capacity. She was about to be dropped and sent home from the UN post last year if not pleaded by the Government of URT supported UK Government on condition that MIGIRO's term be extend for one year only (2009) instead of 2 years. So she will be back on her early retirement to Dar next year.
She has failed the UN and Tanzania.
Please do not count on her.
Like Kikwete, Migiro is another 'uchochoro' and the fertile facility for Mafisadis, period.