Asha Rose Migiro for President 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asha Rose Migiro for President 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mama, May 25, 2009.

 1. M

  Mama JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2009
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Ni wakati wa kuanza kufikiria kinyang'anyiro cha urais hapo mwakani.

  Nadhani ni wakati kufikiria mgombea mwenza wa kiti cha URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CCM. Dr Shein akagombee urais Zanzibar. Asha Rose kugombea kiti cha umakamu wa rais kutamwandaa vyema kwa kugombea urais 2015.

  Kwa kiti cha umakamu wa rais wa JMT, si mwingine, bali mwanamama shupavu, mahiri na mwenye kipaji cha hali ya juu cha uongozi, aje kusaidia kuleta maisha bora kwa watu wote nchini mwake, naye si mwingine bali:

  ASHA ROSE MIGIRO.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Mawazo mazuri ingawa hayajazingatia katiba tuliyonayo kwa sasa. Unless unataka kusema mojawapo kati ya yafuatayo:

  - Tubadilishe katiba kabla ya 2010 kuondoa kipengele kinachotataka makamu wa Rais atoke upande tofauti wa Muungano na Rais.

  - Mgombea urais kwa tiketi ya sisiemu 2010 atatokea zanzibar na hivyo Kikwete will not run for a second term!

  - Asha Rose Migiro agombee kwa tiketi ya chama toafuti na sisiemu akiwa kama mgombea mwenza wa mgombea uraisi kutoka zanzibar
   
 3. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,086
  Likes Received: 1,731
  Trophy Points: 280
  Migiro is very weak in terms of leadership capacity. She was about to be dropped and sent home from the UN post last year if not pleaded by the Government of URT supported UK Government on condition that MIGIRO's term be extend for one year only (2009) instead of 2 years. So she will be back on her early retirement to Dar next year.
  She has failed the UN and Tanzania.
  Please do not count on her.
  Like Kikwete, Migiro is another 'uchochoro' and the fertile facility for Mafisadis, period.
   
 4. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  =========

  Sababu ya Tigo nini?
  I can confirm most of what you said about UN Secretary general intention to drop her last year.
   
 5. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0

  - Hizi dataz zako hazina ukweli wowote, Mama Miigiro na Baki-moon ni damu damu sana, haendi kokote yupo UN mpaka katibu wake atakapotoka, wabongo UN walidhani kwamba kwa sababu mbongo ameingia basi watapanda vyeo na kutesa kama vile siasa za bongo,

  - Kumbe huko UN kuna miongozo ya sheria sasa ndio wamebaki kumzushia maneno ya uongo kila kukicha aibuu, inatia kichefu chefu sana kwa tunaoujua ukweli na tunaowajua wanaozusha haya maneno ya uongo na majungu! Mimi ninayo mpaka barua ya majungu aliyoiandika mtu mmoja huko UN na kunipa niiweke kwenye mitandao ili kumchafua huyu mama, wabongo bwana hata nje bado roho za kimasikini tu!

  Respect.

  FMEs!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  May 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  The UN is so so irrelevant these days and it is pretty much a third world organization
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  May 25, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 4,999
  Trophy Points: 280
  ..UN kuna siasa nyingi sana. mtu anaweza kupoteza nafasi yake, siyo kutokana na utendaji mbaya, bali siasa na majungu ya UN.

  ..nimesoma kitabu cha Boutrous Ghali ndiyo nikajua nini kinaendelea UN.

  ..hata uteuzi wa Mama Mongella ulipingwa sana, na Madeline Albright, sababu kubwa alikuwa ameteuliwa na Dr.Ghali, ambaye alikuwa amekosana na USA.

  ..hata mabadiliko yaliyotokea Nairobi, ambapo Prof.Tibaijuka amekuwa demoted, ni ushahidi tosha wa siasa za UN.
   
 8. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Ya Mama Tibaijuka ni tofauti, yeye amekuwa under investigation kwa muda mrefu sana kwa kuajiri ndugu zake kule UN, demotion yake ni matokeo ya uchunguzi huo na wala sio anything else, kwanza ana bahati sana kwamba hawakumfukuza kabisa,

  - Halafu apunguze majivuno kwenye kazi, maana hayo ndiyo yaliomtoa Mwakawago UN, kule SierraLeone, otherwise you are right sana na politics za UN.

  FMES!
   
 9. H

  Hauxtable JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 386
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  .....just been Mocked by North Korea,lets see what security council will do about it.
  ** by the way,I'm not glorifying the act.
   
 10. J

  JokaKuu Platinum Member

  #10
  May 25, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 4,999
  Trophy Points: 280
  FMES,

  ..watumishi wa UN pale Nairobi waliandamana kupinga Ban Ki-Moon kum-demote Prof.Tibaijuka.

  ..kama Prof angekuwa na ukabila sidhani kama watumishi wale wangemuunga mkono.

  ..vilevile kama anahusika na ukabila basi wangemuondoa moja kwa moja na siyo kumpunguzia madaraka tu .hata kwa hiyo nafasi waliyomuacha nayo, DG wa UN-Habitat, bado ana uwezo wa kuajiri na kuendeleza huo ukabila unaomtuhumu.
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Hizi mkuu ulizozisema ni politics zaidi kuliko ukweli wa mambo, I hope na wewe hauko motivated na huo huo ukabila tunoukataa, au?

  FMES
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  May 25, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa UN walikuwa wapi kule Rwanda? kule Bosnia-Herzegovina? kule Chechnya? kule Liberia? kule Sierra Leone? wako wapi na wanafanya nini kule Darfur maana ukatili bado unaendelea?

  This thing is so irrelevant and it should be disbandend. All they do is just sit there and talk and do nothing. They talk more than they do. What the hell?

  To all intents and purposes, the UN has failed!!
   
 13. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na huyo Mama yetu nae inaonekana yuko matatizoni Bunge la Afrika:

  Source: Wow.gm (Gambia News Community )
   
 14. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,762
  Trophy Points: 280
  Hivi what makes us think kwamba Mama Migiro anaweza kuwa kiongozi bora wa nchi ya ulimwengu wa tatu kama TANZANIA yetu? Lets get real jamani. Kama ingekuwa hivyo...hawa madiplomats wetu ndo wangekuwa wanarudi home na kuonyesha njia..kuanzia kwa akina Balali, Ndullu, Kagasheki (Veteran wa UN), Cheyo (UDP) nk. Mimi naamini yule mama ana leadership qualities. LAKINI sidhani kama ni mtu ambaye anaweza kuikabili system ya Tanzania ya leo. Kumbuka.....na yeye ni product ya kubebana hivyo hivyo hivyo (ingawa atleast alibebwa akiwa na vyeti na uwezo). Infact I would say Prof. Tibaijuka (with all her negatives) ni strong kuliko Rose...maana ni mama alithubutu kuikabili system (remember BAWATA)...Atleast. Kuongoza nchi kama TANZANIA inahitaji ujasiri wa hali ya juu kuuliza maswali ambayo hayauliziki...kitu ambacho mwalimu wangu Rose hawezi. Na wala hajawahi kufanya.

  In all, Ban Ki-Moon anaweza kuamua kumdrop..kama atapata second term....Wala hilo halina tatizo ni uamuzi wake tuu...maana by all accounts Ban haja-command respect kama top notch diplomat especially in Washington and PARIS. Infact najua kabisa...kama atataka kuongezewa term ya pili..lazima atapewa masharti lukuki na akina Susan Rice na wenzake......

  Infact kama ni ushauri wangu, mama Migiro akirudi bongo..asijiingize kwenye siasa tena. Aingie kwenye shughuli ambazo zina tija kwetu wananchi..mfano aje na idea mpya ya kuanzisha kitu kingine..kama policy Institute ya mambo ya Peace au mengineyo..anaweza kuwa na impact kubwa sana...Tufike pahala tujifunze mambo ya maana kutoka kwa wenzetu. TANZANIA sidhani kama tuna policy institute ya maana, sijui who makes our foreign policy, who advises Membe.....huko ndo watu kama akina Rose, Salim, Tibaijuka... wanafaa wakae..watengeneze sera za taifa letu for generations to come.

  Imagine akina Halbroke etc..Clinton alivyotoka madarakani..walianzisha Centre for American Progress..kwa wanaojua ile ndo Think Tank ya Democrats.....ndo imeshape/inashape foreign policy ya democrats....akina Susan Rice leo wana unguruma UN..nk...Republicans wana ya kwao..wengi waliotoka kwenye utawala wa Bush ndo wako humo sasa...wakiangalia mikakati ya mbele...

  Ingekuwa ni furaha iliyoje kuwa na mtu kama Mkapa..angekuwa Professor pale UD au chuo kingine..wa mambo ya International relations na globalization? au Sumaye, Msuya, SALIM, Malecela...etc...kibaya hatuna huo utamaduni...kwa kuingia kufundisha.... hawa wazee wange-admit makosa yao, wakaandika vitabu kuelezea sera walizozisimamia....wakaja kufundisha generation nyingine..kusudi vijana wakajua wazee walijikwaa wapi..Sadly..ndo akina mzee Malicela na uzee wao wako kwetu usukumani kukampaign kiti cha ubunge..yaani at times sijui Africa itasonga mbele vipi....Yaani unashindwa kuelewa mtu kakaa kwenye public service almost forty years..lakini ndo hivi mpaka leo wanakimbizana na watoto huko Nyarugusu....kutafuta kura. Imagine Mzee MALICELA ANGEKUWA ANAANDIKA VITABU NA KUTWAMBIA WHAT REALLY WAS HE DOING IN POLITICS AND POLICIES WHICH SHAPED OUR COUNTRY....FOR ALL THE YEARS HE WAS IN ACTIVE PUBLIC SERVICE. SAME APPLIES TO OTHERS...

  YAANI HAPO NDO NAMPA HESHIMA Nyerere..aliandika mawazo yake..leo ukiongelea ujamaa..you have where to look for reference. Kifupi..mzee alituachia urithi wa kipi alikisimamia na kukiamini. Kuyakubali au kuyakaa mawazo yake, ni kitu kingine. Imagine.Mkapa anaongelea Globalization Geneva....lakini nyumbani kwake..hawezi kuwapa ideas...Jamani where do we get these leaders? Duh!
   
 15. Kaniki1974

  Kaniki1974 JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 352
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kafanya nini huyu mpaka sasa? Yaleyele ya kuchagua smiling faces. Bora Magufuli or any other guy toka upinzani.
   
 16. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu vipi naweza kupata hicho kitabu cha Dr.Ghali online au ukanielekeza kwingine kwa kukipata?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  May 26, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Jaribu Amazon.com
   
 18. M

  Magezi JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145

  Lakini mkuu, mbona kama kweli kulikuwa na nchi hazikufurahi na uteuzi wa Asha Rose Migiro?? Hebu nielimishe kidogo
   
 19. Robweme

  Robweme Senior Member

  #19
  May 26, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa mkuu, ndugu anawaajili bila kisomo au wakiwa na kisomo.kama ndugu wana vidato sioni tatizo, si nafasi zinatangwaza wanatafuta wenye vigezo, kama wako ambao shule hamna basi atakuwa amefanya makosa, lakini kama shuke ipo na wamesoma kishenzi poaaaaaaaaa, mlie tu.big up mama tibaijuka.kwani mama tibaijuka ana ndugu wangapi au unamaanisha kabila moja,nenda mkasome msisingizie kaajili ndugu tu.
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Asante kwa maneno na mawazo mazito. Kweli TZ hayuna na hatujawa na viongozi wenye fikra ukimwondoa mwl. Nyerere.
   
Loading...