Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

Asante sana hakina hii story inassimua
 
Asante kwa kesi hii ndefu, nimeipitia kwa haraka haraka ila nitaisoma vizuri jioni nikiwa nimetulia.
Kuna ya mama Liundi pia, aliua watoto sababu ya wivu wa mapenzi pia. Wanaume kama kawaida yenu chanzo cha matatizo.
Mtambuzi;
Hii story nayo angetupatia kwa kirefu nimekuwa nikiisikia kwa juu juu napata shauku ya kuijua
 
JE, UNAWEZA KUTUWEKEA ILE KESI YA YULE MAMA WA BAGAMOYO {MAMA SUNDAY} AMBAYE ALIMUUA MUMEWE NA KUMTUMBUKIZA KISIMANI, HATIMAYE NAYE ALIFARIKI AKIWA GEREZANI DODOMA?
 

Tupe ile ya maumba
 
JE, UNAWEZA KUTUWEKEA ILE KESI YA YULE MAMA WA BAGAMOYO {MAMA SUNDAY} AMBAYE ALIMUUA MUMEWE NA KUMTUMBUKIZA KISIMANI, HATIMAYE NAYE ALIFARIKI AKIWA GEREZANI DODOMA?

Yule alikuwa anaitwa Mariam Siri alimuua mumewe akamtumbukiza kisimani halafu akawazuia majirani kuchota maji akidai kuna mbwa katumbukia kisimani. Walipomwambia tumtoe akakataa. Ndugu wa mume wakimuulizia ndugu yao anadai kaenda Uarabuni. Alihukumiwa kifo lakini akauawa gerezani kwa kupigwa na kuni kichwani na mfungwa mwenzake aliyekuwa naye selo moja.
 
TOFAUTI YA MWANAMKE NA MWANAUME

MWANAUME AKITEMBEA NA MKE WA MTU ATAHAKIKISHA INAKUWA SIRI KUBWA ILI MUME ASIJUE.

MWANAMKE AKITEMBEA NA MUME WA MTU ANAFANYA SIFA NA KUJITANGAZIA KWA WATU NA HATA KUMTAMBIA MWENYE MUME, HUU NI UPUMBAVU UNAOFANYWA NA DADA ZETU.

HIVI, MTU AKITEMBEA NA MKEO/MUMEO HALAFU AKAWA ANAJISIFU NA KUKUTAMBIA, UAMUZI WA KUDHURU HAUTAKUJA??

SIMLAUMU BI. MKWIZU, NAMLAUMU MAREHEMU HAPPYNESS.

MISTAKE ALIYOCHEZA BI. MKWIZU NI KUTOA MAELEZO POLISI AKIWA NA HASIRA NA KUMSMULIA HOUSEBOY

USHAHD ULIOMFUNGA BI. MKWIZU NI MAELEZO YAKE YA POLIS NA KUMSMULIA MUSA.

KUNA BINTI MMOJA ALITEMBEA NA MUME WA MTU, AKAPEWA ONYO NA MWENYE MUME LAKN AKAISHIA KUDHIHAK KAMA BI. HAPPYNESS

KILICHOMKUTA NI KUTOA DAMU YA HEDHI ISYO NA KIKOMO, MPAKA MAUTI YALIVYOMKUTA.

WADADA, KUWEN NA STARA MNAVYOTEMBEA NA WAUME ZA WATU.
 
Daaah yaani kama kweli ule mtusi wa Kipare aliohushusaha Happy binti wa Kipare, na umkute mdada wa kipare ekigaya chasuu avae hakuna namna kwa Asha kumsukumia nondo, siajelewa hapo kwa Dr Mvungi yeye anaingia kama nani? samahani mkuu
 
Lkini pia mkuu ukumbe miaka ya 1983 Nyumba zilikuwaje ukaribu wake, usije fananisha kipindi hiko na sasa hivi kulivyojengeka
 


Umenikumbusha Masha Makatta , mrembo ambaye hakua na mpinzani Oysterbay nzima ,labda mpinziani alikua Gaundencia Shigella (R.i.P.)
Nina kumbuka hii kesi , ingawa nikiwa mdogo sana , Makattas walikua tunaishi jirani , Oysterbay , nakumbuka hadi siku ya tukio baada ya habari kuanza sambaa kwamba Makatta kauwawa .
Msiba wake ulikua sio wa kawaida, , sababu marehemu alikua bradhameni na handsomeboy , kulijaa wasichana warembo wakilia na kuzimia .
Maajabu yalikuja tena baada ya msiba huo, ikapita miaka michache kukatokea tena mauaji mengine ya msichana ambaye naye alikua akiishi maeneo hayo hayo ya Oysterbay , alijulikana kama Angelica Rwechungura , ambaye baba yake alikua a judge nadhani na kulikua na habari ya kwamba naye baba ya marehemu ali uwawa kwa sumu ya taratibu.
Huyu dada Angelica Rwechungura naye inasemekana alirushwa ghorofani toka kwenye Entense Hotel katikati ya jiji.
Baadae tena baada ya kupita miaka kadhaa , ikaja tokea mauaji mengine ya kijana mwingine wa hapo hapo Oysterbay mtaa wa Bongoyo ,alijulikana kama Robert Cathless , baba yake alikua Brigadier Cathless, naye ina semekana ali uwawa kwa kurushwa ghorofani .
Vifo vyote hivyo sina habari kamili nazo maana hivyo viwili vya mwanzo nilikua mdogo sana ila cha huyu Robert ,kidogo nadhani nilikua teari a teenager , kwa hiyo habari zilisema kwamba ni wivu wa kimapenzi, ingagwa mbaka leo sikuweza pata habari kamili suala lilikua ni nini na kama mhusika alikamatwa .
Vifo hivyo vyote vilistua sana kwani wote walikua wana umaarufu fulani .

 

Pia na kumbuka kipindi hicho , kulikua na beef kati ya watoto wa Oyesterbay na wa Upanga .
 
Tuletee kesi kifo cha mkuu wa mkoa iring bwana kreluu na saidi. Usiiedit chochote
 
nadhan happiness naye hakuwa na akili nzuri. yaani unatembea na mume wa mtu. mwenye mume amekupeleka mpaka polisi. baadaye mnarudi anakushawishi mwende kwake ukale unywe na bia unaoa ni sawa tu. we una akili sawasawa?
 
 
Huyu mama alitoka jela msamaha wa rais waka 1995,,akaja hadi moshi kwa kaka yake aitwaye Yahaya mkwizu_lakini pale hakukaa sana kwani alikua anadai kwamba majirani wanamwogopa na hawampi ushirikiano,,,akahama pale kijijini na tangu hapo sijui alipokwendaga hadi leo
 
Nina UHAKIKA 100% Huyo mama alifariki kwa kupigwa na mfungwa mwenziwe gerezani.
H


Nina UHAKIKA 100% Huyo mama alifariki kwa kupigwa na mfungwa mwenziwe gerezani.

Ninavyokwambia hivyo Nina uhakika 100%,,huyu mama kwao na kwetu ni jirani kule wilaya ya moshi vijijini,jimbo la vunjo,kata ya makuyuni kitongoji cha saghana,,,yupo hai mpaka Leo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…