Asha Migiro hatulii NY?

Waziri Sofia Simba alisema hi majuzi kuwa safari hii wanataka rais mwanamke.

Hivi kuna mtu bado anaweza kusikiliza maoni ya Sofia Mnyama? Wenye busara walikwisha sema akili zake zinafikiri uloda tu mida yote.
 
HIVI VIATU VYA MKUU NDIO VILE ALIVYOLETEWA NA WAARABU WA KEMPINSKI AU??MAANA VIMEPINDA KIAINA.MKUU UZA NA ILE NYUMBA PALE KIGAMBONI WAKULETEE VIATU VINGINE ha;;


Afu viatu vya mkulu dizain kama Over Size vile!!!!!
 
Kwani Mr. wake yuko NewYork au Dar? Just thinking aloud.
 
Nyie people! FICHENI UPUMBAVVV WENU THEN NA DHIHIRISHENI BUSARA ZENU! narudia mara ya pili kuwa'alert abt that agenda! 21 century unamjadili mtu specific kw dini, rangi, kabila ni ujinga uliokomaa mnaonesha ni jinsi gn mlivyo na LOW &THIN ATTIDUDE! Jadilini ISSUES, EVENTS, POLICY e.c.t au ndy wale mnaofikiri thrw MASABURI! Shenzz type!
 

Jamani, jambo tunalojadili sio sisi tu, hata magazeti ya Marekani yameripoti jambo hilo kama inavyoonekana kwenye nukuru hapo juu
 
1. Jamani UN tunalikizo nyingi sana kutegemea na aina ya kazi yako. Kwa mfano mimi binafsi napata likizo kila baada ya wiki 6 na kwa maana hiyo nikiamua kuja nyumbani nitakuja si chini ya mara 7 kwa mwaka. Sasa huenda mama yeye kutokana na majukumu yake mazito akawa na likizo nyingi zaidi. Un inaamini mapumziko mzfupi ya kila baada ya muda fulani ili mtu aweze kuwa more effective kwa kupunguza msongo wa maisha na zaidi likizo za UN huruhusiwi kuchukua likizo na kukaa kwenye nchi unayofanyia kazi.

2. Chondechonde naona watu huko nyumbani mnaendekeza sana suala la UDINI, why? Tuulizeni sisi tunaofanyakazi hizi na UN na kupata bahati ya kuzunguka Dunia hii. Dini na Ukabila ni vya kuviogopa kabisa kama UKOMA, mataifa mengi yameingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya Dini na Ukabila. Naomba ndugu zangu tujaribu kuepuka hili. Sidhani kama kuna tatizo lolote kama viongozi watatoka kabila moja au dini moja kama watukuwa na sifa hizo. Nyerere alisemz "tuchague au tusichague mtu kwa ajili ya kabila au dini yake".
 

Dini na ukabila bado vina nafasi kubwa sana kwenye siasa za kiafrika. Huwezi ukanishawishi nimchague tena Rais muislam wakati uzoefu unaonesha nchi yetu imeingia matatizoni muda wote ambao Rais Muislamu amekuwa madarakani na mafanikio yalifikiwa pale tulipoongozwa na wakristo (sina haja ya kutoa mifano). Huyu wa sasa ndiyo kituko kabisa kwasababu amejaza mashemeji zake kwenye nafasi nyeti hadi inatia kichefuchefu. Kwa kifupi utendaji wa waislamu ni mdogo sana ukilinganisha na wakristo, waislamu wao wanachojua ni visasi tu.
 

Kwa kawaida kuna utaratibu wa kupena zamu mnapochukua likizo. Iweje wote mko nje kwa kipindi kirefu na hakuna wakujibu masuala, na watumishi wenu hawajui mnachokifanya isipokuwa tu kwamba mko nje?
Pamoja na utetezi wako hii ni kashfa, na watakapofikia kipindi cha kutaka kuendelea kihunzi hiki kinaweza wakwamisha. Hayo ndiyo tunayoyaona hata kwa Mkulu wetu.
 

Saša hivi ni zamu ya wanawake
 
hakuna taifa lililofanikiwa kwa kuweka mbele udini/ukabila pale ambapo wananchi wake wengi wapo katika kabila au dini kuu mbili....inakaribisha uhasama ambao maafa yake ni ya kutisha na ya kudumu karne na karne....

kwani uislamu na ukristo maana yake nini...ni imani ya dhati mioyoni mwa watu inayojidhihirisha katika maisha ya kila siku au ni majina/kuzaliwa kwenye familia zenye hizo dini?

haiwezekani kuwa weka wanasiasa wote wa dini moja kwenye kundi moja.

mimi naona viongozi wengi wa siasa hapa tz ni wakristo/waislamu majina tu...maisha yao na values zao zinahusiana zaidi na unafiki na upagani kuliko imani.. ni jambo la aibu sana kwamba watu kama hawa ndio wana tufanya tubaguane kidini katika mambo ya siasa!!!
 
CCM huwa wanasema vijana hawawapendi, nguvu yao ipo kwa wanawake....the truth is hata wanawake wamechoka ila tu hawapendi sana kuingia mtaani na mabango...imagine maji ya kuwasha na mtoto mgongoni...
 
Hili tatizo km wengine walivyosema litatupotosha kila siku yani hata kurudi Kwao tunahoji... We are extremely driven by thought now I understand kwanini watu wameanza kupuuzia this platform...

Wengine viatu kageuza does this have anything to do with presidential race? Hebu tujadilini vya msingi tuache utoto .

Ni upuuzi kuona tunakua washabiki hata hatutambui heshima
 
ana kiherehere sana naye huyu ...kama kukaa NY si arudi tu ujue moja kutwa yuko ikulu.... au ndo anajidangaya kuwa atakuwa rais 2015?hahaaaa chichiemu bana yaaani mambo yao kama beki ya manchester ilivokuwa inacheza jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…