Mkuu, huwezi kujua kila kitu vitu vingine kama ujui ni bora ukae kimya..
Huyu mama ni Mpare, lakini kazaliwa Songea mume wake ni Prof. Clophans Migiro na wana watoto wawili wa kike..wote ni wakiristo
Hivi nikulize swali Muislam anafunga ndoa Kanisani? nijibu ili niendelee kukujuza zaidi bahati nzuri namjua huyu mama vizuri