Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
- Thread starter
-
- #61
Haka kamama ni kaislam. Hizi trips nyingi ni za mawindo ya urais. Magamba wakimteua huyu njia ni nyeuuupeeeeeee kwa wapiganaji.
nani kakudanganya? Uliza
Hivi sisi watanzania tuna tatizo gani na roho zetu mbaya? Alipokuwepo Koffi Annan alijaza ndugu zake Waghana katika nafasi tele za UN lakini sisi tumelala, Asha Rose akianza kufanya kitu basi tunalalamika kwa roho mbaya zetu. Mbona Mama T alipojaza ndugu zake wa kwao kwenye UN habitat mulinyamaza?
Na hizo tuzo munafikiri anakurupuka nazo kwakuwa kama maraisi wa kiafrika? Maana raisi wa kiafrika hujijaza matuzo. Munadhania kule UN watamchekea tu kwa vile ni Deputy SG. Jamani tukuwe tupanue mawazo na kuchukua nafasi hii wakati yeye bado yupo siyo kujadili mambo yasiyokuwa na tija.
Angekwenda Europe au kutoa tuzo kwa wazungu ndiyo mungefurahi na kusubiri muletewe misaada.
By the way, kuna Rose mwislamu?
Duh..huyu mama kawakosea nini jamani? Leave the woman to do her job. Kama mwajiri wake yuko confortable na hizo safari kwa nini wengine muone kama anatafuta uraisi? Halafu ultimately wapiga kura ni wananchi..kwa hiyo hata kama akitaka kugombea si kosa maana naamini ni haki yake na wewe mpiga kura ndo utaamua kama anafaa kukuwakilisha au hakufai.
Lets learn not to hate. Lets be proud na achievements za watanzania wenzetu.
Big up mwalimu!
unakua naivu namna hii, bila tume huru ya uchaguzi mgombea wa CCM hadi hapa tulipo ana kura mil 3 za kupewa, sasa kwa nini tusiwaongelee wagombea hawa watarajiwa wa CCM?
Kumbukeni kuwa mwendo wetu ni MKristu Mwislamu Mkristo Muislam.................................next mkristu
Hivi sisi watanzania tuna tatizo gani na roho zetu mbaya? Alipokuwepo Koffi Annan alijaza ndugu zake Waghana katika nafasi tele za UN lakini sisi tumelala, Asha Rose akianza kufanya kitu basi tunalalamika kwa roho mbaya zetu. Mbona Mama T alipojaza ndugu zake wa kwao kwenye UN habitat mulinyamaza?
Na hizo tuzo munafikiri anakurupuka nazo kwakuwa kama maraisi wa kiafrika? Maana raisi wa kiafrika hujijaza matuzo. Munadhania kule UN watamchekea tu kwa vile ni Deputy SG. Jamani tukuwe tupanue mawazo na kuchukua nafasi hii wakati yeye bado yupo siyo kujadili mambo yasiyokuwa na tija.
Angekwenda Europe au kutoa tuzo kwa wazungu ndiyo mungefurahi na kusubiri muletewe misaada.
By the way, kuna Rose mwislamu?
Anajitahidi kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya 2025. Subiri na yeye amwagiwe Pollonium ndiyo atapata akili kuwa ikulu haikimbiliwi.
Yet despite two requests from Inner City Press for an explanation of this "official" travel, not a single official UN act has been described.
Nor does Ban's spokesperson's office, when asked, seem to know what Ban is doing in his native South Korea. On August 9, Inner City Press asked Ban's acting deputy spokesman Farhan Haq about one of Ban's actions while away:
Hivi kuna anayejua kwanini huyu mama anaitwa Asha-Rose?
Kwani Rose Asha ni mkristo au mwislamu? Maana nilisikia waislamu wanasema Nyerere alitwala miaka 22 na Mkapa akatawala 10. Ikilinganishwa na Mwinyi miaka 10 na Kikwete miaka 10 basi lazima wapate mwislamu tena miaka 10. safari hii watasema tunataka mwanamke maana kwa miaka 50 hajawahi kutawala mwanamke. Ndipo watachomoa jina la mwislamu Asha aliyekuwa amefichwa nyuma ya Rose.
Wewe ndio kaulize..mimi tena wakati namjua huyo mama na ndoa alifunga Kanisani