Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

Wazushi wa chadema wanatumia fursa hii kufurahi kudhani amepunguza akidi. Atarudi bungeni
 
Pole sana mh mbunge. Mungu akurudishie afya yako haraka
 
Pole sana mama, mbele ya magonjwa siku zote hakuna itikadi za siasa, Tumwombee apone haraka.
 

bahati mbaya niko mikoani wiki hii. dah ningekuwepo alafu anikute! na ushetani wake, yaani basi tu.
 
Oooooooh huyu mama katuvurugia nidhamu ndani ya BMK,sasa anataka kutuingiza kwenye janga jingine baya kabisa la EBOLA!!!!!!!!.Jamani huyu mama anatutakia nini lakini?????.
 
Kwa nini isiwe Ebola jamani nahivi haina tiba hela yawalipakodi ingepona maana hata ulaya hapelikwi wangekufa taratiiiibu
 
Oooooooh huyu mama katuvurugia nidhamu ndani ya BMK,sasa anataka kutuingiza kwenye janga jingine baya kabisa la EBOLA!!!!!!!!.Jamani huyu mama anatutakia nini lakini?????.


haaaa haaaa ww umenifanya nicheke sana.

tumuombee shifaa, mungu ampe afya aendelee na wajibu wake. sisi tunaheshimu mawazo ya kila mtu, tujifunze kusikilizana na kupingana kwa heshima pasipo kufurahi unaepingana nae mawazo mabaya.

bi asha urecave wende ukatoe mchango wako wa taifa na taifa lolote haliwezi kujengwa na watu wenye mawazo mamoja tu. mm sikubaliani na mawazo na mtazamo wa bi asha ila nna mheshimu sana mama yangu
 

dah ingekua ebola ingependeza sana na hivi ukawa hawapo basi wangeambukizana wenyewe kwa wenyewe,mara mwigulu nae midam hiyoo, af na msaliti samweli six nae apatwe na huo ugonjwa hiyo ndio ingekuwa mwisho wa jeuri zao, majahili wakubwa hao
 
Siku zote mioyo iliyotiwa ugumu ni si kwa manufaa ya mwanadamu,bali ni ili Mungu ajitwalie utukufu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…