FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,917
Ujinga ule ule wa Corona, biashara ya watu tu..
Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi.
Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar.
Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa.
Ishafika bongo na Afrika nauhakika sema nigger ni mbishi ana immune ya kibishi ndio maana we are able to survive in any harsh conditions.
Mungu tusaidie.
Kabla ya kutuuzia hofu unajua huu ugonjwa unaenezwa vipi!?Hauna tiba wala chanjo. Flight attendant wa KLM kakutwa nayo na abiria wawili wa KLM wamethibitishwa wanayo. Inasemekana hadi huko Spain.
Cape Verde walikataa hiyo meli isitie nanga. Sasa hivi inaelekea Spain kisiwa cha Tanarife wananchi wamepanic wanaiomba serikal7 isiruhusu hiyo meli.
Covid ilianzaga hivihivi. Afadhali covid hii hantavirus ni kuharisha na kukohoa
🤣🤣🤣Wanasema mwanaume ukipata hicho kirusi uume wako utapungua kwa cm 3 😁😁
Duh!!!Wanasema mwanaume ukipata hicho kirusi uume wako utapungua kwa cm 3 😁😁
AI anasemaje?Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi.
Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar.
Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa.
Ishafika bongo na Afrika nauhakika sema nigger ni mbishi ana immune ya kibishi ndio maana we are able to survive in any harsh conditions.
Mungu tusaidie.
Kidokezo muhimu: Njia bora ya kuepuka Hantavirus ni kudhibiti panya ndani na karibu na makazi yako.
Kwahiyo wenye inch mbili inakuaje😎Wanasema mwanaume ukipata hicho kirusi uume wako utapungua kwa cm 3 😁😁
Zinachukuliwa zilizopo ilibaki utadaiwaKwahiyo wenye inch mbili inakuaje😎
Hiyo virus kuna mtu kule x alitabiri 2026 itakuja. Nadhan haipo really ila jisni ambavo mama yenu anapelekewa moto na washua nchi ya mbeleni huko. Walah lockdown ipo karibuHuu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi.