Asasi hizo za kiraia {Civil Societies} za Tanzania, Jumatano wiki hii yalitangaza rasmi kuanza KAMPENI ya MWAKA MZIMA dhidi ya Serikali ya Magufuli inayolaumiwa dhidi ya UKANDAMIZAJI wa Demokrasia.
Asasi hizo zinadai, serikali ya Rais Magufuli imeondoa UHURU uliokuwepo ulioachwa na WATANGULIZI wake.
Tanzania Legal and Human rights Centre, moja ya Asasi hizo imenakiliwa ikisema
" Bila UHURU wa KUJIELEZA na uhuru wa KUKUSANYIKA Tanzania hakuwezi kuwa na MAENDELEO".
Katika kampeni zao sitahusisha SEMINA, MIJADALA, na DEBATE.
Rais Magufuli amekuwa akilaumiwa kwa kutumia NGUVU, na UKANDAMIZAJI ikiwa ni pamoja na KUPITISHA sheria ambazo ZINAZUIA fundamental rights/ HAKI za KIMSINGI.
Moja ya sheria hizo ni ile ya mwaka 2016,
Media Service Act. Ambayo inaweka vizuizi kwa WAANDISHI wa Habari, Bloggers na WATUMIAJI wa MITANDAO ya KIJAMII ambayo ingali iko mahakamani ikipingwa.
Asasi hizo zinadai kumekuwa na ukandamizaji aina MBILI.
Moja ni kutoka SERIKALINI na pili, POLISI.
Hivi vyote ni katika kuzuia watu WASIKUSANYIKE.
Mashirika hayo yanasema MIKUSANYIKO YA AMANI ni lazima IRUHUSIWE. Ili watu waweze kuchangamana.
Hili litasadia KUBADILISHANA MAWAZO, MAONI, kuhusu issues za MAISHA yao.
Inadaiwa rais Magufuli ameonyesha kutokuwa na UVUMILIVU hasa katika MAONI yanayoonekana KUTOFAUTIANA NAYE.
CHANZO:
Shirika la habari la AFP