Asasi nane za Kiraia(Civil Society) zatangaza Kampeni dhidi ya Ukandamizaji wa Demokrasia

Kwani wewe ni mtu hadi uzungukwe na watu?

Ningelikuwa naishi na viumbe kama wewe, eti ndiyo jamii inayonizunguka hapa duniani, ningekunywa sumu nife. Wewe siyo mtu na bila shaka unaishi nao ni viumbe kam awewe ambao si watu kwa hiyo usijilinganishe na watu!
..unaweza kuta unamtukana Baba yako,..Hizi ID fake,..
 
Si ndiyo hizo zilikuwa zinatumiwa na Chadema, na chadema huwa inazofadhili pamoja na wale wa ulaya. Wanafikiri Watz wote ni nyumbu , haaahaa
Alafu mtu kama wewe ukiambiwa ukweli kuwa aliyekutatua marinda alikuharibu mpaka akili unabisha...
 
Kwa mawazo haya yakwako, ile sheria ilikuwa na haki bunge kuipitisha kwa maana hayo uliyoyaandika sio Uhuru tena ni utumwa.

Mtumwa ni wewe unayetaka mwenye kttumia kinyesi kufikiria asimabiwe ukweli badala yake aambiwe ni genius!.
 
..unaweza kuta unamtukana Baba yako,..Hizi ID fake,..

Sidhani kuna mzee kama mimi yeyote humu JF. Baba mwenye akili kama za hlli dude, hawezi kuzaa mtoto kama mimi. Itakuwa ni maajabu ya kenge kuzaa twiga!. Huyo jamaa ni specie nyingine kabiisa. Siyo binadamu kwa taarifa yako.
 
Mfano nikitoka njiani au kwenye vyombo vya habari nikisema simpendi Magufuli na sipendi anavyoongoza nchi, je itasemwa kwamba nimetumia uhuru wangu kutoa maoni au nitaitwa mchochezi? Refer kesi lukuki zilizopo mahakamani za uchochezi!

Uhuru wenyewe kama huu wa Kenya ndiyo mnaouongelea?

Kuikosoa sirikali

Kama kuikosoa Serikali ingekuwa hairuhusiwi basi Bunge lote lingekuwa liko Jela kwani vikao vya Bungeni vyote vinaendeshwa kwa kuikosoa Serikali, au kuikosoa vipi labda unamaamisha? Zito Kabwe kila siku anaokosoa Serikali Mitandanoni na Magazetini mbona hajawahi kufungwa? Ulimwengu kila siku anaandika makal za kuikosoa Serikali mbona hajashitakiwa? Mimi kwetu kila siku na washikaji tunaongelea na kujadili mambo ibao na mengi tunaikosoa Serikali yetu na hatujawahi kukamatwa wala kukanywa na yoyote yule, sasa ndo maana sielewi!
 
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?

Sasa kusema ndio mzee kwa kila jambo nani atakuzuia? Huo sio uhuru unaotafutwa wa kujieleza.
 
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
Kwenye orodha ya watu wa kujieleza wewe haupo kabisa, hivi unawezaje kujieleza wewe wakati fikra zako ni mgando?
watu wenye uwezo wa kujieleza ni wale ambao wana ubongo active na siyo ubongo inactive Kama wewe.
Ben Saanane alipojieleza kuwa Mkuu wa nchi na yeye ahakikiwe PHD yake ulimwona?
Hebu jaribu kumpinga hadharani mkuu wa nchi au mkosoe hadharani ndo utajua Kama kuna Uhuru wa kujieleza au haupo, unadhani ni ule Uhuru wa kuomba pesa za kwenda Coco beach kutoka Kwa wazazi wako makada wa ccm wewe kula kulala?
a hog that wanders around in the forest is better than you, who sits at home and wait for your parents to bring food for you, that's why you are blindfolded and a wild beast overcomes your culmination.
 
Unamaanisha nini kwa kumpinga Mkuu wa Nchi? Kama kukosoa nakosoa sana kila mahali, kuanzia kitaani kwetu kwenye Daladala mpaka hapa JF lkn hakuna kilichonitokea, hata Zito Kabwe anakosoa kila siku lkn hakuna kilichomtokea, Bungeni Mbunge Bashe anakosoa kila siku na hakuna kilichomtokea, Fisadi Lowasa anakosoa Serikali kila siku na hakuna kilichomtokea, hivyo sielewi ni Uhuru gani unaoungelea ambao haupo!
 
Kama kuikosoa Serikali ingekuwa hairuhusiwi basi Bunge lote lingekuwa liko Jela kwani vikao vya Bungeni vyote vinaendeshwa kwa kuikosoa Serikali, au kuikosoa vipi labda unamaamisha? Zito Kabwe kila siku anaokosoa Serikali Mitandanoni na Magazetini mbona hajawahi kufungwa? Ulimwengu kila siku anaandika makal za kuikosoa Serikali mbona hajashitakiwa? Mimi kwetu kila siku na washikaji tunaongelea na kujadili mambo ibao na mengi tunaikosoa Serikali yetu na hatujawahi kukamatwa wala kukanywa na yoyote yule, sasa ndo maana sielewi!
Hayo mambo unayoongea na jamaa zako huko nyumbani ya kukosoa serikali kwa nia nzuri tu nenda kayaweke kwenye social medias mkajadili muone kama sijaja kuwaletea msosi shimo la tewa au segerea, msizungumzie chumbani ambako hamuonekani tokeni mzungumzie nje ,huko nani atawasikia na serikali itawasikiaje kama msipoandika kwenye social? Msijifananishe na zito yule anayo kinga ya bunge ww una kinga ya nini? Matone au homa ya manjano? Usitake kufananisha supu ya ngombe na supu ya kongoro wewe
 
Back
Top Bottom