Asasi nane za Kiraia(Civil Society) zatangaza Kampeni dhidi ya Ukandamizaji wa Demokrasia

Asasi hizo za kiraia {Civil Societies} za Tanzania, Jumatano wiki hii yalitangaza rasmi kuanza KAMPENI ya MWAKA MZIMA dhidi ya Serikali ya Magufuli inayolaumiwa dhidi ya UKANDAMIZAJI wa Demokrasia.

Asasi hizo zinadai, serikali ya Rais Magufuli imeondoa UHURU uliokuwepo ulioachwa na WATANGULIZI wake.

Tanzania Legal and Human rights Centre, moja ya Asasi hizo imenakiliwa ikisema
" Bila UHURU wa KUJIELEZA na uhuru wa KUKUSANYIKA Tanzania hakuwezi kuwa na MAENDELEO".
Katika kampeni zao sitahusisha SEMINA, MIJADALA, na DEBATE.

Rais Magufuli amekuwa akilaumiwa kwa kutumia NGUVU, na UKANDAMIZAJI ikiwa ni pamoja na KUPITISHA sheria ambazo ZINAZUIA fundamental rights/ HAKI za KIMSINGI.

Moja ya sheria hizo ni ile ya mwaka 2016,
Media Service Act. Ambayo inaweka vizuizi kwa WAANDISHI wa Habari, Bloggers na WATUMIAJI wa MITANDAO ya KIJAMII ambayo ingali iko mahakamani ikipingwa.

Asasi hizo zinadai kumekuwa na ukandamizaji aina MBILI.
Moja ni kutoka SERIKALINI na pili, POLISI.
Hivi vyote ni katika kuzuia watu WASIKUSANYIKE.

Mashirika hayo yanasema MIKUSANYIKO YA AMANI ni lazima IRUHUSIWE. Ili watu waweze kuchangamana.

Hili litasadia KUBADILISHANA MAWAZO, MAONI, kuhusu issues za MAISHA yao.
Inadaiwa rais Magufuli ameonyesha kutokuwa na UVUMILIVU hasa katika MAONI yanayoonekana KUTOFAUTIANA NAYE.
CHANZO:
Shirika la habari la AFP
Bob alawai sema;we know no devil philosophy.
 
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
Nenda pale magogoni useme maneno haya kwa sauti kuu...

" Daud Bashite ni kilaza naomba alete vyeti"

Halafu utatuletea mrejesho
 
Uhuru wa kujieleza katika siasa ndio umekwenda na maji ukitaka kujieleza kisiasa nenda chama fulani cha wanafki na kina Bashite na vihiyo baaasi.
 
Asasi hizo za kiraia {Civil Societies} za Tanzania, Jumatano wiki hii yalitangaza rasmi kuanza KAMPENI ya MWAKA MZIMA dhidi ya Serikali ya Magufuli inayolaumiwa dhidi ya UKANDAMIZAJI wa Demokrasia.

Asasi hizo zinadai, serikali ya Rais Magufuli imeondoa UHURU uliokuwepo ulioachwa na WATANGULIZI wake.

Tanzania Legal and Human rights Centre, moja ya Asasi hizo imenakiliwa ikisema
" Bila UHURU wa KUJIELEZA na uhuru wa KUKUSANYIKA Tanzania hakuwezi kuwa na MAENDELEO".
Katika kampeni zao sitahusisha SEMINA, MIJADALA, na DEBATE.

Rais Magufuli amekuwa akilaumiwa kwa kutumia NGUVU, na UKANDAMIZAJI ikiwa ni pamoja na KUPITISHA sheria ambazo ZINAZUIA fundamental rights/ HAKI za KIMSINGI.

Moja ya sheria hizo ni ile ya mwaka 2016,
Media Service Act. Ambayo inaweka vizuizi kwa WAANDISHI wa Habari, Bloggers na WATUMIAJI wa MITANDAO ya KIJAMII ambayo ingali iko mahakamani ikipingwa.

Asasi hizo zinadai kumekuwa na ukandamizaji aina MBILI.
Moja ni kutoka SERIKALINI na pili, POLISI.
Hivi vyote ni katika kuzuia watu WASIKUSANYIKE.

Mashirika hayo yanasema MIKUSANYIKO YA AMANI ni lazima IRUHUSIWE. Ili watu waweze kuchangamana.

Hili litasadia KUBADILISHANA MAWAZO, MAONI, kuhusu issues za MAISHA yao.
Inadaiwa rais Magufuli ameonyesha kutokuwa na UVUMILIVU hasa katika MAONI yanayoonekana KUTOFAUTIANA NAYE.
CHANZO:
Shirika la habari la AFP

Si ndiyo hizo zilikuwa zinatumiwa na Chadema, na chadema huwa inazofadhili pamoja na wale wa ulaya. Wanafikiri Watz wote ni nyumbu , haaahaa
 
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
Kuikosoa sirikali
 
Asasi hizo za kiraia {Civil Societies} za Tanzania, Jumatano wiki hii yalitangaza rasmi kuanza KAMPENI ya MWAKA MZIMA dhidi ya Serikali ya Magufuli inayolaumiwa dhidi ya UKANDAMIZAJI wa Demokrasia.

Asasi hizo zinadai, serikali ya Rais Magufuli imeondoa UHURU uliokuwepo ulioachwa na WATANGULIZI wake.

Tanzania Legal and Human rights Centre, moja ya Asasi hizo imenakiliwa ikisema
" Bila UHURU wa KUJIELEZA na uhuru wa KUKUSANYIKA Tanzania hakuwezi kuwa na MAENDELEO".
Katika kampeni zao sitahusisha SEMINA, MIJADALA, na DEBATE.

Rais Magufuli amekuwa akilaumiwa kwa kutumia NGUVU, na UKANDAMIZAJI ikiwa ni pamoja na KUPITISHA sheria ambazo ZINAZUIA fundamental rights/ HAKI za KIMSINGI.

Moja ya sheria hizo ni ile ya mwaka 2016,
Media Service Act. Ambayo inaweka vizuizi kwa WAANDISHI wa Habari, Bloggers na WATUMIAJI wa MITANDAO ya KIJAMII ambayo ingali iko mahakamani ikipingwa.

Asasi hizo zinadai kumekuwa na ukandamizaji aina MBILI.
Moja ni kutoka SERIKALINI na pili, POLISI.
Hivi vyote ni katika kuzuia watu WASIKUSANYIKE.

Mashirika hayo yanasema MIKUSANYIKO YA AMANI ni lazima IRUHUSIWE. Ili watu waweze kuchangamana.

Hili litasadia KUBADILISHANA MAWAZO, MAONI, kuhusu issues za MAISHA yao.
Inadaiwa rais Magufuli ameonyesha kutokuwa na UVUMILIVU hasa katika MAONI yanayoonekana KUTOFAUTIANA NAYE.
CHANZO:
Shirika la habari la AFP

WANAKUWAGA NA MBWEMBWE ZA MATAMKO HUKU HAWANA MENO
 
Asasi hizo Ikiwemo chadema, mashoga, Wauza madawa ya kulevya, wanywa viroba.
 
Hakuna aliyezuia hilo isipokuwa Serikali imezdhibiti siasa za mikutano ya hadhara ambayo inafanya baada ya uchaguzi Serikali iliyochaguliwa na wananchi kushindwa kutimiza ahadi zake kwakuwa inakuwa kama uchaguzi haujaisha...Marekani leo baada ya uchaguzi huwezi kusikia Hilary Clinton anafanya mikutano ya hadhara nchi nzima eti anakosoa utawala wa Trump.

Demokrasia sio hio...demokrasia ni pamoja na maendeleo kwa wananchi kuwa na uhuru wa kuikosoa Serikali na kuwadhibiti viongozi wao ila kwa njia halali za kidemkarasia ambazo zitaifanya Serikali inayokosolewa kutimiza wajibu wake.

Tatizo wabongo siasa tunaifanya inakuwa demokarasia. Ni vitu viwili vinashabihiana ila in practice vinatofautiana.
 
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
Upo duniani kweli weww????yaaani maelfu wapo ndani kwa kuandika Mawazo yao ktk mitandao??Uhuru unaopata wewe wakusifu akina bashite tu
 
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
Utanyimwaje Uhuru wa kujieleza wakati unajipendekeza?
 
Sasa kama ni hivyo, kwa nini hao takataka wanalalamika? Kwa maana kwangu mimi na watu walionizunguka tuna Uhuru wa kufa mtu mpaka unaboa, wakati mwingine!
Kwa majibu yako haya kweli wee kichwa maji
 
Katika maisha yangu kama kuna jambo ambalo sijawahi kulielwa ni hili linaloitwa Uhuru wa kujieleza, binafsi sijawahi kunyimwa Uhuru wa kujieleza hapa TZ tangu nizaliwe, na wala sijawahi kukamatwa au kuulizwa chochote kwa kujieleza kwangu, na watu walionizunguka hivyo hivyo hakuna hata mmoja aliyewahi kuadhibiwa kwa kujieleza kwake, sasa sielewi, unaweza labda kuniweka sawa hapa mnamaanisha nini?
Unajua mkuu, duniani kote sijafika nchi nyingi ila nasikia kwa maana hakuna jipya chini ya jua, ni kwamba Uhuru wa kujielezea unaruhusiwa na hakuna mtu atakae shurutishwa na dola ama taasisi ya kijeshi, ila Uhuru wa matusi na maneno yenye mtazamo wa kuchafua/ kuharibu amani hakuna na hautakuwepo wala kuvumiliwa na nchi yoyote yenye malengo ya kuwaletea wananchi wake maendeleo!
 
Wewe hujawahi kujieleza kwa sababu kichwa chako hakifanyi kazi. Unasubiri utumwe nin icha kusema. Hujawahi kujieleza na wala huna uwezo huo na hutakuwa nao.

Watu kama wewe wenye vichwa kama furushi la vinyesi, hili haliwahusu. Hata ukiambiwa jieleze utajieleza nini wkati kcihwa chako ni funza? Unajua nini wewe hadi ujieleze? Puambbuere kabisa!
Kwa mawazo haya yakwako, ile sheria ilikuwa na haki bunge kuipitisha kwa maana hayo uliyoyaandika sio Uhuru tena ni utumwa.
 
Back
Top Bottom