Lol wajinga ndo waliwao! Zile stimu za pombe zimekata,helicopter zizokuwa zinarandaranda angan zimepotea wamebaki kama marehemu akishazikwa..lakin atawakumbuka katika maombi
critical thinking does not mean incremental thinking!!! NEVERSidhan kama ni haki kuwabeza wana igunga kwa kuwa tu wameipa ubunge CCM. Wanaigunga wanatakiwa kupongezwa na kutiwa moyo kwa mapinduzi makubwa waliyofanya, kwan wameishusha CCM kutoka 72% okt 2010 hadi 50.5% sept 2011. Je, huu si ushindi? Achen uchangiaji wa kitoto ulojaa pumba tupu. Great thinker always think critically.
Kula mwana,wana igunga walikitaka hicho wataendelea kusota juani km solar powerLeo mtaani kwetu Pugu kajiungeni kulikuwa na sherehe ya kumpongeza Dr. Dalali Kafumu kwa kuchaguliwa kuwa mbuge wa Igunga.Huku ndio nyumbani kwake hivyo mavumba ya posho ndiko yatakotumika,poleni wanaigunga kwa kuambulia pombe,mahindi na tindikali,sisi twala.
Pokeeni asante yangu.