Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

Sixgates hajulikani yuko anga gani sasa baada ya walevi wa Chang'aa na gongo kushindwa kumiza malengo yake.

Hana issue aendelee kumtumikia Mwegulu wake labda atapata kula kidogo.

....Lumumba ndugu yetu kapotea huko Kigoma!!!

mnama Rizt kuweni na huruma mwenzetu kapotea...
 
sijawahi kuona siku hata moja slaa akifanya siasa za maana zaidi ya majungu na kulaghai watu.
Sure mkuu, yaanimtangu ameanza ziara yake, hakunamhata siku moja wapambe wake kama akina Molemo wamejaribu kueleza nini padre aliyeasi ameongea.
 
Diyooooo!
Chezea Dr. Kpenz cha watu, mwendo mmja kuelekea Ikulu,
kz kubwa huko Ikulu ni kurejesha utawala wa Wananch kama enz za Mwl nyerere! Ambapo mafisad,mauza unga, wabakaji,wauza pembe za ndovu, wezi wa madin,wala rusha.
Hawatakuwepo tena.
 
rais wa familia yako sio wa nchi hii niijuayo mimi

Hata hivyo hawezi kuwa rais wa mafisadi kama wewe. Kwani siku Chadema ikishika dola lazima mlipe fedha na rasilimali za nchi hii mlizoiba. Atakuwa rais wa JMT
 
1.png
 
Heko Dr Slaa; Wahuni na walevi wafuasi wa Zitto Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
ZZK your shelf life is long gone; Exit ASAP; Adieu Zitto.
 
the indomitable lion-Dr. slaa.
Who can not be readily intimidated by anybody.

May God grant you good health and give you breakthroughs against all agonies.
 
Ni ukweli kwamba hii karata meitumia muda mrefu lakin kiukweli imepauka sasa. Utendaji kazi wa dk. unaendelea kwa kasi. tafuteni nyingine sasa.
Mmmh! Ukiona babu Slaa, weka mbali wake za watu
 
Binafsi nilipata mashaka makubwa sana na nikawa najiuliza uliza busara ya Mh Slaa kwenda Kigoma. Lakini kadiri nilivyofuatilia nikagundua kumbe kiongozi hapaswi kuogopa, hapaswi kuacha kusudio lake kama nia ipo, huwezi ukarudi nyuma kwa kutishiwa. Na sasa nawaza tena kama mojawetu hapo juu ingekuwa ameahirisha ziara ile kule Kigoma, wapinzani wake wangempachika jina gani. Kwa sasa lazima wakubali yeye ni SIMBA DUME - bora kufia vitani unapigana!
 
ku,be wana kigoma sio wahuni kama Zitto, harafu baada ya Zitto kuona mambo yememwrendea Dr kinyume na matarajio yake ameibuka na kusema eti wasimfanyie vurugu. harafu anatuona kama sis watoto sana huyu jamaa kama angekuwa na nia nzuri angesema wakati Dr anapanga kwenda huko. Kaka uliowatuma hawako na wewe vipesa ulivyowapa walienda kupiga pombe. Kigoma hoyeeee
 
Dk Slaa apokewa kwa mabango Kakonko, Kigoma

Na Fredrick Katulanda na Anthony Kayanda, Mwananchi



Posted Ijumaa,Decemba6 2013 saa 11:57 A


Kakonko/Mwandiga.Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amepokewa kwa mabango katika mkutano wake wa hadhara wilayani Kakonko,.




Dk Slaa alikumbana na mabango hayo saa 8:45 mchana msafara wake ulipowasili Kakonko Mjini ukitokea Mhange.

Wakati Dk Slaa akiingia katika uwanja wa mkutano, ulio jirani na Ofisi za CCM Wilaya ya Kakonko, kuliibuka kundi la vijana wapatao hamsini wakiwa na mabango mkononi na kuanza kukimbia kuyafuata magari matatu ya msafara wa Dk Slaa huku wakionyesha mabango yao. Hatua hiyo iliwafanya polisi waliokuwapo eneo hilo la mkutano kuwazuia na kuanza kuwatimua lakini mara baada ya Dk Slaa kuteremka katika gari yake na kuingia uwanjani hapo, aliomba kipaza sauti na kuwataka askari hao kuacha kuwatimua wenye mabango. "Naomba msiwaondoe waacheni waje... waruhusuni kwenye mkutano na mabango yao. Waacheni waje hapa … msiwazuie, waacheni waonyeshe mabango yao na muwaruhusu tu wapite hapa mbele, msiwapige tafadhali," alisema Dk Slaa.

Baada ya kauli hiyo, polisi waliwaruhusu vijana hao watano ambao walibakiwa na mabango manne, moja likiwa limechanika walipokuwa wanawazuia.

Mabango hayo yaliyokuwa na maandishi ya aina moja, yalikuwa na ujumbe uliosomeka: "Tanzania Kigoma Kakonko bila Zitto Haiwezekani", ‘Mhe. Slaa, Mhe. Mbowe mnatakiwa kujiuzuru mara moja" na jingine lilisomeka; "Hatupo tayari kwa kusikiliza lolote bila ya Zitto".

 
Back
Top Bottom