Asanteni kwa msaada wenu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Nilikuja hapa na tatizo la nephew wangu alidisco, mlinipa ushauri tulioufanyia kazi, aliandika appeal na kuipeleka chuoni mwisho wa mwezi July. Ni kweli kuna makosa yalitendeka, ingawaje kesi bado inaendelea lakini ameruhusiwa kurudia mitihani yote. Bila mawazo yenu haya yasingewezekana.
Shukrani.
 
Aendelee kufuatilia mpaka apewe barua ya status from discontinue to continue with studies..

Hongereni sana mana disco kama una roho ndogo is little bit terrible hell.
 
Aendelee kufuatilia mpaka apewe barua ya status from discontinue to continue with studies..

Hongereni sana mana disco kama una roho ndogo is little bit terrible hell.
Ninadhani hiyo ni baada ya kupasi mitihani itakuja ana timed exams mbili wiki hii, asanteni kwa kweli
 

Habari Viongozi.
Naomba kuuliza, barua ya kuappeal matokeo chuo kikuu inaandikwaje?.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
Habari Viongozi.
Naomba kuuliza, barua ya kuappeal matokeo chuo kikuu inaandikwaje?.
Natanguliza shukrani za dhati.
Vyuo vingi vina form ya ku appeal, unaipata student service centre.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…