Asanteni kina dada wa mikoani

Mwevuli wako alikuja nao au atakupigia simu ukauchukue?
Hakuleta lkn hata akinipigia cm nikachukue sitaenda mpk nijiridhishe yeye ni mtu wa namna gani
Mteremko utaniponza
 
Kiwira ni eneo lililojaa kila aina ya uovu, uzinzi, ukahaba, uchawi, kuuwana ******* senge, ajali za bodaboda yaani kila aina ya takataka ipo hapo, kuwa makini unaweza kuta ni jini hilo, kiwira hilo eneo sio kabisa
 
Kiwira ni eneo lililojaa kila aina ya uovu, uzinzi, ukahaba, uchawi, kuuwana ******* senge, ajali za bodaboda yaani kila aina ya takataka ipo hapo, kuwa makini unaweza kuta ni jini hilo, kiwira hilo eneo sio kabisa
Asante mkuu
 
Mikoa inayoongoza kwa maambukizo ya VVU:-
1. Njombe
2. Iringa
3. Mbeya
4. DSM
 
Ha ha ha ha watu wanavijembe humu! Khaaa ha ha ha haha huyo mtu wadada wa huko wanaupendo wa agape mkuu, ila kumbuka kuvaa CONDOM angalau kupunguza makali
 
Aisee Mimi mambo ya ofa inaniumiza kichwa ata kuanza kupima Afya nashindwa; mdada aliniteka Bukoba tukawa tunapiga peku kwasasa ninaumia jinsi ya kuanza kupima Afya.
Du! Pole
 
Mla vya watu na vyake huliwa
 
We jamaa bhn umemsaidia mwamvuli kakukumbuka kakutoa offer...asa angekuita kwake c ungepost mpaka facebook na insta [emoji38] chukulia kawaida acha kujishtukia
 
Ila story yako imenishangaza kuona umelipiwa maana hao hua hawalipagi ni nandra xnaa ndio maana ukafanya komoa[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…