ha ha haaaa,aiseemkuu nataka nikuweke ndani.....
njoo nikuvishe pete mkuu...ha ha haaaa,aisee
Mnyakyusa hajui dawa wala limbwata na hajawahi kumuacha mtu salama.Ni maajabu kwangu lkn pia sjaamini sana hili tukio
Lkn mpk nimeamini
Kilichofanya nisiamini ni kutokana na kuzoeshwa vibaya na dada zetu wa dar,,,,,
Nahitaji ushauri wenu wadau kuhusu hili tukio ,,,
Mimi nilikua dar sasa katikati ya mwaka huu nikaletwa mbeya kuna kazi naendelea nayo
Ktk harakati zangu za kutimiza majukumu yangu
Nilikutana na dada mmoja maeneo ya kiwira sasa kama mnavyojua sshv mvua zinanyesha kwa wingi
Nilikua na mwamvuli ikabidi nijifunike nae kwa bahati mbaya yeye alikua anaenda mbali kidogo ikabidi nimuachie mwavuli wangu
Lkn nikampa namba ili Siku akipita mtaani kwetu anipitishie
Hakuwahi kunipigia na nilimpa namba yangu yake sjachukua ,
Sasa Jana kanipigia asubuhi akajitambulisha hlf akaniomba tuonane jioni ya Jana jmosi
Akasisitiza kua amenialika nkamwambia poa
Ilipofika jioni akanipigia cm tena nikamuuliza nije maeneo gani
Akanielekeza ni maeneo ya tukuyu
Nikajikoki nikaenda kufika hio sehem akawa hajafika ila akaniambia we agiza unachitumia nakuja sshv,,
Basi nkaagiza bia moja kabla sjamaliza akatokea akiwa na rafiki yake ,, tukasalimiana pale na kutambulishana then tukaendelea na story za kawaida
Akaagiza nyama na ndizi za kutosha kwakweli nilikunywa na kula mpaka nikawa natambaa ikabidi nikodiwe usafiri nikarudishwa home
Sasa tangu asbh nawaza hv yule Dada ni MTU kweli au anataka roho yangu? Tangu asbh ananipigia na kunitext ikabidi nizime simu
Mi siamini kama huku mkoani kuna watu wa namna hii kwasababu kule dar tunanyongwa sana,,
Naombeni ushauri wadau huyu dada nimpotezee au kwasababu ananiambia anapenda kua karibu na mimi sasa kwa staili hii ntarudi dar kweli
Chakula Mbeya ni kingi mno mf gunia la viazi ni 10000/=,kitimoto kg ni 6000 imechomwa tayari hapo ndizi za buku juu wanakuzilia vile. Pombe ndo tupo kiwandani kabisa. Wanawake wa Mbeya ni mchakariko balaa kutafuta hela wana hela chafu hawana midume ya kula nayo sasa wewe unashangaa nini.Hpn mkuu tatizo ni aina ya huduma zinatia mashaka
Pete sijataka ndo maana nimeolewa kigumugumunjoo nikuvishe pete mkuu...
Hakumbuka tena mwavulivip mwavuli kaulejesha?
Kwa kunyeshwa hadi ukatambaa huwezi kuukataa umario pole mkuu.Mkuu mi sio marioo
Umenifanya nicheke mkuu. Kwa hiyo unaogopa kutolewa out? Usiogope. Ni ukarimu tu huo uliotukukaNi maajabu kwangu lkn pia sjaamini sana hili tukio
Lkn mpk nimeamini
Kilichofanya nisiamini ni kutokana na kuzoeshwa vibaya na dada zetu wa dar,,,,,
Nahitaji ushauri wenu wadau kuhusu hili tukio ,,,
Mimi nilikua dar sasa katikati ya mwaka huu nikaletwa mbeya kuna kazi naendelea nayo
Ktk harakati zangu za kutimiza majukumu yangu
Nilikutana na dada mmoja maeneo ya kiwira sasa kama mnavyojua sshv mvua zinanyesha kwa wingi
Nilikua na mwamvuli ikabidi nijifunike nae kwa bahati mbaya yeye alikua anaenda mbali kidogo ikabidi nimuachie mwavuli wangu
Lkn nikampa namba ili Siku akipita mtaani kwetu anipitishie
Hakuwahi kunipigia na nilimpa namba yangu yake sjachukua ,
Sasa Jana kanipigia asubuhi akajitambulisha hlf akaniomba tuonane jioni ya Jana jmosi
Akasisitiza kua amenialika nkamwambia poa
Ilipofika jioni akanipigia cm tena nikamuuliza nije maeneo gani
Akanielekeza ni maeneo ya tukuyu
Nikajikoki nikaenda kufika hio sehem akawa hajafika ila akaniambia we agiza unachitumia nakuja sshv,,
Basi nkaagiza bia moja kabla sjamaliza akatokea akiwa na rafiki yake ,, tukasalimiana pale na kutambulishana then tukaendelea na story za kawaida
Akaagiza nyama na ndizi za kutosha kwakweli nilikunywa na kula mpaka nikawa natambaa ikabidi nikodiwe usafiri nikarudishwa home
Sasa tangu asbh nawaza hv yule Dada ni MTU kweli au anataka roho yangu? Tangu asbh ananipigia na kunitext ikabidi nizime simu
Mi siamini kama huku mkoani kuna watu wa namna hii kwasababu kule dar tunanyongwa sana,,
Naombeni ushauri wadau huyu dada nimpotezee au kwasababu ananiambia anapenda kua karibu na mimi sasa kwa staili hii ntarudi dar kweli
Na yeye ajiulize kwa nini alimwachia mwavuli ghafla vile [emoji124] [emoji124] [emoji124]Jiulize maswali haya:
1. Kwa nini hajakufuata kwako.
2. Kwa nini anataka ukaribu gafla hivyo?
3. Kwa nini akujali kiasi hivyo?
Ni hayo tu ukiamua kumchukua kumbuka mkapime kabla ya yote maana hakuna kitu kinauma kama MAJUTO DUNIANI HAPA.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hata Adam alivopewa na Eva waliishia kufukuzwa, pokea tu vya mwanamke muda ukifika utafukuzwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenena. Sijui wanataka nini hasaHata sijui mnataka nini, mkipewa mnalia, mkituhudumia mnalia, Khaaa