Asanteni Dodoma Marathon

Asanteni Dodoma Marathon

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,844
Reaction score
52,251
Dodoma marathon iliyounganika pamoja na festival ya kuchoma nyama, inaleta mabadiliko chanya sana kibiashara na kiuchumi kwa mkoa wa Dodoma,

Je hii hawezi kuzunguka na mikoa mingine?
Nimeona mpaka TRC imepandisha bei za Tickets kumaanisha kuna ongezeko la mapato.

Washiriki wekeni likes hapo tukutane Rainbow..
 
Kero KUBWA ni kuifanyia jamhuri stadium. HAPO MJINI SANA watafite eneo NJE huko MFANO waandae eneo hata kilimani huko au NJE huko mji WA serikali. Kuna muda mziki unapigwa WATU wanataka wajiachi kwa Yale mazingira Ina nyima uhuru SANA. mnatoka HAPO macho ya WATU mengi sana YANI hu enjoy kubambia na ULE mchana inakuwa SIO POA lipelekwe mji WA serikali litafutwe eneo la wazi WATU wale KWANJA kwa uhuru.

Pongezi kwenu SANA TENA SANA mbunifu WA HII marathoni ni balaaa niliudhuria marathon ya MWAKA huu zanzibar kwa kweli haikuwa POA ILIKUA pale forodhani pale ni eneo la mji WATU hawakua na uhuru kabisa.

hivo pendekezo LANGU tuboreshe ZAID Miaka ijayo WATU wawe wanakuja kutoka NJE ya mataifa makubwa. KWENYE promo siwadai mmetisha SANA inshu ni HAPO jamhuri ni MJINI.

Mji WA serikali MAeneO ya wazi BADO YAPO nikutenga eneo TU mna piga tent WATU tuna furahi kwa amani SI unatoka HAPO na MPENZI WAKO anaanza KUTAFUTA mar khanga ajifunike we ukipita sehemu na ZILE pensi WATU wanakushangaa hayo MAeneO SIO. Bora usiku bambalaga kidogo fresh.

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow .................. Jah iz really
 
Sipendagi kusikia matangazo ya marathon kwenye media's yan yananikera kwelikweli
 
Dodoma marathon iliyounganika pamoja na festival ya kuchoma nyama, inaleta mabadiliko chanya sana kibiashara na kiuchumi kwa mkoa wa Dodoma,

Je hii hawezi kuzunguka na mikoa mingine?
Nimeona mpaka TRC imepandisha bei za Tickets kumaanisha kuna ongezeko la mapato.

Washiriki wekeni likes hapo tukutane Rainbow..
Hiyo nipo hahaa.
 
Kero KUBWA ni kuifanyia jamhuri stadium. HAPO MJINI SANA watafite eneo NJE huko MFANO waandae eneo hata kilimani huko au NJE huko mji WA serikali. Kuna muda mziki unapigwa WATU wanataka wajiachi kwa Yale mazingira Ina nyima uhuru SANA. mnatoka HAPO macho ya WATU mengi sana YANI hu enjoy kubambia na ULE mchana inakuwa SIO POA lipelekwe mji WA serikali litafutwe eneo la wazi WATU wale KWANJA kwa uhuru.

Pongezi kwenu SANA TENA SANA mbunifu WA HII marathoni ni balaaa niliudhuria marathon ya MWAKA huu zanzibar kwa kweli haikuwa POA ILIKUA pale forodhani pale ni eneo la mji WATU hawakua na uhuru kabisa.

hivo pendekezo LANGU tuboreshe ZAID Miaka ijayo WATU wawe wanakuja kutoka NJE ya mataifa makubwa. KWENYE promo siwadai mmetisha SANA inshu ni HAPO jamhuri ni MJINI.

Mji WA serikali MAeneO ya wazi BADO YAPO nikutenga eneo TU mna piga tent WATU tuna furahi kwa amani SI unatoka HAPO na MPENZI WAKO anaanza KUTAFUTA mar khanga ajifunike we ukipita sehemu na ZILE pensi WATU wanakushangaa hayo MAeneO SIO. Bora usiku bambalaga kidogo fresh.

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow .................. Jah iz really
Maoni yako bila shaka wameyaona watafanyia kazi🤝
 
Back
Top Bottom