Asanteni Crew nzima ya wana Arusha-Wing....narejea Dar.


hahahaaa msamehe bure maana akili yake yote ilikuwa kwa kichuna wake Ladymasa akasahau mabeste zake
 
Last edited by a moderator:
hiyo :A S-heart-2:nipotezea gia wewe si unajua niko kwenye ndoa
na shem wako unamjua sema tumetangana kwa muda
ndo mana namwacha tu na vituko vyake vya huko Geneva

heee cousin kumbe umeanguka in love looh hapo juu nimeharibu duuuh, si ungeniambia mapema nisingemtaja yule kichuna?
 
heee! kumbe huyo ni kichuna wake mpya
jamani jamani mtoto huyu ataangukia ugonjwani
shauriyake ajue kuwa yule ni pekupeku anapekua chuya na pumba
anazilanda kotekote laiti angetuambia mapema mabestito wake
tungemtadharisha juu ya kichuna huyo
maskini 24hrs kapotea njia kaingia choo cha kike?

heee cousin kumbe umeanguka in love looh hapo juu nimeharibu duuuh, si ungeniambia mapema nisingemtaja yule kichuna?
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nilifurahi kukuona kwa mara nyingine tena, karibu Arachuga tena na tena na tena mpaka kileweke Madame B

Tuonane tena Mwanza panapo majaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…