Kuna mtu aliniomba hela ya kununua maandazi asubuhi anywee chai...:eyebrows:Ulichofanya?
Nadhani nianze mimi kwa kusomeka.
Asante kwa kunisoma AJ.
nani kakushukuru? SL,Husn au Smile?Mimi leo asubuhi nimeambiwa "Thank You"
Asante Eng. (sijui ni engineer. . . ??) Smasher.
Wote watatu kwa mpigo...nani kakushukuru? SL,Husn au Smile?
Hivi nini jibu la asante.....
Haahaha ina maana ungekataa? Au ndio ungesema "mwanaume hashukuru" ???Oh!! You are so Kind .. Thanks for That! was just Joking!! Lol ..
.. Vema umeanza wewe .. ungeniambie nianze mimi, Looh ..ungeona msimamo wangu!! Lo! ungeishia kusema mfumo dume!!
oohh kumbe i wasnt wrong,nilikuwa na tabia ya kusemaga asante ila hubby alikuwa hapendagi ilikuwaga tukitoka mahali labda restaurant nikisema asante ilikuwa inaleta tabu hadi nikajikuta nimeacha,,,loo i wish aone hii sred naye ajifunze lol
Mimi leo asubuhi nimeambiwa "Thank You"
Inategemea na hiyo asante unapewa kwaajili gani.
Kama ni kwa kitu ambacho nawe kimekufaidisha unasema "asante nawe pia" kama ni favour umemfanyia mtu unaweza kumjibu kwa "asijali" au "karibu" kama wanavyosema kwa kimombo "don't worry about it, don't mention it, no worries, you are welcome" etc.
Mangi mwenyewe nilikuwa namdai nililipa akaniambia hana mia nipitie baadaeItakuwa baada ya kulipa deni kwa mangi ukizingatia huwa ni mgumu wa kulipa
hakutegemea kama utalipa mapema hivi