Asante!!!

Lizzy Asante sana kwa kunikubusha kuhusu nguvu iliyobebwa na neno ASANTE! Real THANKS!!!

AJ asante nawe pia.

Baba Enock ukiishi kinafiki kila kitu utaona ni unafiki.
Nini haswa kinakufanya uamini asante inatolewa kinafiki?Kwani huyo anaepewa anakua hastahili?
 
Mkwe asante...........umenikumbusha nilikwenda kwa rafiki yangu nikawakuta wanakula alipomaliza kula hakusema asante kwa dada (wa kazi) nilipomwambie kwa nini hakusema asante akasema ya nini daaah mara nyingi tunaona hawastaili kupewa asante lakini kwa kufanya hivyo inamfanya hata dada kuona anathamani kwenye familia. watoto wanapoona unatoa asante kwa dada wanamjali na kujifunza kutoa asante kwa wengine. jambo zuri kutoa asante/shikuru kwa kila kitu
 
Jamani wakati mwingine tunakuwa na nia ya kujishughulisha ila mara umeme unazima pwah, nikikimbilia kituo cha mafuta kuna mgomo.

basi ndo inabidi tuwaache mhangaike nalo hilo goma la wazee

inategemea kajishughulisha kiasi gani!
 
AJ asante nawe pia.

Baba Enock ukiishi kinafiki kila kitu utaona ni unafiki.
Nini haswa kinakufanya uamini asante inatolewa kinafiki?Kwani huyo anaepewa anakua hastahili?

Lizzy kama nimekuwa Baba Enock vile au? Just coincidence post kuungana!!
 
Mkwe asante...........umenikumbusha nilikwenda kwa rafiki yangu nikawakuta wanakula alipomaliza kula hakusema asante kwa dada (wa kazi) nilipomwambie kwa nini hakusema asante akasema ya nini daaah mara nyingi tunaona hawastaili kupewa asante lakini kwa kufanya hivyo inamfanya hata dada kuona anathamani kwenye familia. watoto wanapoona unatoa asante kwa dada wanamjali na kujifunza kutoa asante kwa wengine. jambo zuri kutoa asante/shikuru kwa kila kitu

Na ndivyo ilovyozoeleka mkwe.Dada wa watu anaonekana hastahili asante kwasababu analipwa na kisingizio cha kwamba sie anaenunua chakula. Wakati angeweza akawafanyia mambo ya ajabu mkiwa hampo nyumbani na badala yake anajitahidi kuwaridhisha.
 
Endelea hivyo hivyo mwaya siku moja asije akajifanya haelekei huko au hata akatemea chakula chako mate akilazimika kukuletea.
Asante mwaya,yani ktk watu nawathamini ni hawa wasaidizi coz hata uhai wangu wanao wao wakiamua kunimaliza ndio basi tena!!!
 
Lizzy kama nimekuwa Baba Enock vile au? Just coincidence post kuungana!!

AJ nipo via mobile siwezi kuquote post zaidi ya moja at once na mimi nilitaka kuua ndege wawili kwa jiwe moja ndo maana nikamuunganishia hapo kwako.
 
Bila gravity si wote tungeanguka God knows where?
jeuri yoote tulionayo sababu gravity inahusu.

hujambo lakini?

Hah hah .. why put this to God ..its known bwana ...tena ... kama free falling vile under acceleration due to gravity!!

Mzima mimi!
 
AJ nipo via mobile siwezi kuquote post zaidi ya moja at once na mimi nilitaka kuua ndege wawili kwa jiwe moja ndo maana nikamuunganishia hapo kwako.

Nimekusoma loud and clear!

Sasa amua mwenywe kwa hilo nani ampe mwenzie ASANTE!! Wewe au Mimi ndie nitoe asante!
 
Yaani mi ninavyoimind asante sipati kukwambia. Ikitokea nimemsaidia mtu halafu hajasema asante roho uwa inaniuma kweli, sijui ninamatatizo gani. Mi huwa nazitoa sana hata mtu akinipigia tu namshukuru kwa kufanya hivyo.
 
Jamani wakati mwingine tunakuwa na nia ya kujishughulisha ila mara umeme unazima pwah, nikikimbilia kituo cha mafuta kuna mgomo.

basi ndo inabidi tuwaache mhangaike nalo hilo goma la wazee
Kongosho,sema basi polepole,siku hizi wanetu wanaingia humu,hasa mmu!
 
Yaani mi ninavyoimind asante sipati kukwambia. Ikitokea nimemsaidia mtu halafu hajasema asante roho uwa inaniuma kweli, sijui ninamatatizo gani. Mi huwa nazitoa sana hata mtu akinipigia tu namshukuru kwa kufanya hivyo.
Kbd wala wewe sio mwenye tatizo, wenye matatizo ni hao wanaoshindwa kutoa hata asante ya mdomo kwa wema unaowatendea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom