Asante "tamwa" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante "tamwa"

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Gbollin, Jan 19, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Katika hali inayoonekana ni upendo wa khali ya JUU, nilikata rufaa baada ya "Lizzy" kukataa ombi langu, asanteni TAMWA kwani lile lengo langu la kujiua nimelisitisha kwa sababu ya ushauri wenu kwangu. LD kama unataka kuwa na mimi tafadhari usiwe na wivu kila ntakapokutana na "LIZZY" kuz ntashindwa kumwonyesha hisia zangu kwake. Asanteni TAMWA asanteni JF nimerudi kulijenga TAIFA....!!?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  We mbona una mambo ya kitamthilia?
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Gbollin you need help bro kama upo Dar pale Muhimbili psychiatry wanafanya canselling kila j4 na ijumaa wahi asubuhi kupata nafasi watakusaidia kwenye hili swala la obsession.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahhahhahahha.....Best advice ever!!!:amen:
  GB afadhali umesitisha uamuzi wako!!!Jamvi halikua tayari kukupoteza!!!!:smile-big:
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mhh! nigongee thanks basi besti.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwenyewe nimekumbuka sasa hivi!Ntakugongea nikitoka huku via mobile!
   
 7. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Poa usiku mwema.
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  she's a retard
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Its a HE.
   
 10. LD

  LD JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hata hivo nimeghairi, nia yangu ilikuwa ni kukuokoa usijinyonge/jiue, kwa sababu hilo limefanikiwa basi naendelea na maisha yangu kama yalivokuwa.
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! LD acha usanii bana kasitisha kujinyonga baada ya wewe kumhakikishia kumliwaza sasa ukijitoa si tutarudi palepale na kamba nimesikia hajaitupa bado lol!
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nadhani ng'ombe wake(kichwani) wameenda kuchunga:msela:...
   
Loading...