Watanzania tulizoea maisha ya ubwete.Watamjuwaje kuwa yeye ndiye bingwa?
In God we trust
Angalau umetoa mbadala sio wengine wanalaumu tu na ulichosema kinatekelezeka .Njia nzuri ni hii hata huhitaji kuwa na PhD feki kuitambua Waweke faini kubwa ndivyo nchi zilizoendelea zinavyofanya kwa faini INA maana utaongeza pato LA serikali na watafunga bila shuruti kama hawataki watauza sheri zao na tutaingiza hela uchumi ni akili tu uongozi ni mbinu sio power.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kuendelea kuwa na mawazo mgando kuwa biashara ya kuuza mafuta ni ya waarabu huo ni ujinga ulio pitiliza hujui kuwa kuna watanzania wanafanya hiyo biashara pia?au ndiyo unaendeleza mawazo ya muhongo kuwa watanzania hawawezi biashara za gesi?Watanzania tulizoea maisha ya ubwete.
Mabadiliko popote pale lazima yaje na maumivu,EFD notisi ilitoka mwaka uliopita,lakini waarabu wamedharau
Mnatakiwa muwashambulie hao waliodharau sheria badala ya serikali,mbona Puma,Total,Engen wanazo EFD?
Kumbuka hata mambo ya bei elekezi za mafuta yalipoanza, wauza mafuta waligoma kwa kuficha mafuta tukapata tabu sana,lakini leo imekuwa historia
Nimekuchukonoa makusudi,hujanitukana siku nyingi mkuuKuendelea kuwa na mawazo mgando kuwa biashara ya kuuza mafuta ni ya waarabu huo ni ujinga ulio pitiliza hujui kuwa kuna watanzania wanafanya hiyo biashara pia?au ndiyo unaendeleza mawazo ya muhongo kuwa watanzania hawawezi biashara za gesi?
In God we trust
Asante kamandaNyie lumumba ndiyo mmezoea kuchokonolewa
In God we trust
Kama mkulima basi una akili hutakiwi kushabikia chademaMimi siyo Kamanda Mimi ni mkulima tu
In God we trust
haki yangu ya kikatiba kama unavyoitumia ya kwako kupenda saccosNakuonea huruma kuishabikia ccm
In God we trust
TRA kufunga vituo vya mafuta: Bei ya lita moja yauzwa 5000/ = kwa baadhi ya maeneoHalafu sasa wanalalamika kuuzwa lita 1 kwa 3500 mtaani.
Kufa kufaana. Wakiendelea kubana hiv itafika 5000 per litre