Asante sana Kipanya kwa ujumbe tosha

Asante sana Kipanya kwa ujumbe tosha

Ona Kipanya alivyotafsiri hii hatua ya kufunga vituo vya mafuta

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ngoja naye siku akiwa rais ndio atajua maana ya kuongoza nchi..kwa sasa anaweza ongea chochote
 
Mwisho wa mikurupuko ya awamu hii huwa inaishia kuwaumiza wananchi wasio na hatia yoyote.
Alafu wana kaa kimya utadhani hakuna kinachoendelea

In God we trust
 
masoud kipanya yuko vizuri ila soon atafungiwa.

not to this extent................
 
5fbbeaf0a275a40c8614da054ba7427a.jpg
Unailaumuje serikali, wakati wauza mafuta ndiyo wamefanya uzembe? Ni muda gani mpaka kadhia hii inafika umepita toka walipoambiwa wafunge EFD kwenye pampu? Acheni hizo, ada ya gari imeondolewa unategea nini kifanyike?
 
Kwa mfano tu.
Wote wakasema hatununui hizo mashine. Tunafunga vituo. Unafikiri kitatokea nn?
Huu uzembe ni kama wa sukari. Nao ulianza km mzaha.
Wafunge tu ili tuwakomeshe. Km nao wafanyabiashara wakiungana wakakataa kununua hizo maisha ndiyo utajua kuwa uafrika ni mzigo.
KM AMEFUNGA HALAFU YY WAZIRI ANALALAMIKA KUUZWA MAFUTA 5000 KWA LITA BASI ATAKUWA ALILEWA KIPIND ANATOA MAAMUZI
 
Mimi nadhani kama wenye vituo ni wahujumu uchumi shika weka ndani mafuta yaendelee kuuzwa kama ilivyo kuwa kwa manji ndani Lakin quality Plaza imeemdelea kutoa huduma kwisha habari yao.
 
Kweli let us trust in God. Nafikiri tu, mtu aliyeanza safari from Dar to Arusha na maiti yake akidhani kuwa atanunua mafuta Chalinze, Korogwe na Mombo. Alifikishaje maiti yake baada ya kukuta huyo jamaa kakurupuka tu kutoka usingizini na kuvifunga vituo vyote njia nzima??
 
Kwa mfano tu.
Wote wakasema hatununui hizo mashine. Tunafunga vituo. Unafikiri kitatokea nn?
Huu uzembe ni kama wa sukari. Nao ulianza km mzaha.
Wafunge tu ili tuwakomeshe. Km nao wafanyabiashara wakiungana wakakataa kununua hizo maisha ndiyo utajua kuwa uafrika ni mzigo.
KM AMEFUNGA HALAFU YY WAZIRI ANALALAMIKA KUUZWA MAFUTA 5000 KWA LITA BASI ATAKUWA ALILEWA KIPIND ANATOA MAAMUZI
Wajaribu kufanya hayo unayowashauri...!(mimi sijui kitakachotokea), ninachojua ni kwamba watanyanganywa leseni.
 
... WAZIRI ANALALAMIKA KUUZWA MAFUTA 5000 KWA LITA BASI ATAKUWA ALILEWA KIPIND ANATOA MAAMUZI
Sasa nini maana ya bei elekezi zitolewazo na hao sumstra/ewura? Iko wapi tume ya kulinda mlaji. Ukiona hivyo kuna mmoja hafanyi kazi yake.
 
Sasa nini maana ya bei elekezi zitolewazo na hao sumstra/ewura? Iko wapi tume ya kulinda mlaji. Ukiona hivyo kuna mmoja hafanyi kazi yake.
Bei elekezi ni km maneno kweny kanga.
SUKARI WAPI? Nayo ilikuwa km unavyosema ya bei elekezi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sana Kipanya.

Narudia tena, waziri kufungia vituo vya mafuta ni layman solution, vituo husika vilipaswa kutozwa fine kubwa tu ingetosha.

Waziri ameamka asubuhi kwenda kuwaadhibu walaji wa mwisho wa bidhaa husika kwa kosa lililofanywa na mfanyabiashara.
Kwa hiyo ni sawa na Wazazi wamegombana alafu Mzee anagoma kutoa pesa ya chakula, ada ya Shule, matibabu n.k.
 
Madkiteta duniani wanatabia zinazofanana!...hufanya vitu zingine kama ni video ndiyo unaangalia una kuwa unashangaa!!!...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ipo Siku watabugi watakja kuifuta njii hii wao wenyewe

Ova
 
Nmesoma mahala nkacheka sana, eti aliyetoroga na yeye karogwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom