Asante sana Jenerali Muhoozi Kainerugaba

Asante sana Jenerali Muhoozi Kainerugaba

senzighe

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
2,241
Reaction score
1,824
Mkuu usije ukadhani upo peke yako ambaye haufurahishwi na tabia za hao watu wanaojiona dunia ni ya kwao peke yao tu.

Angalau sasa tuna mtu ndani ya Afrika anayethubutu kuwapa 'shit' moja kwa moja. Kuna jasiri mmoja alijilipua juzijuzi hapa akawaambia 'who are you?, lakini wewe unakandamiza kabisa kabisa.

Unasemea ukiwa ndani ya Uganda lakini huku kwetu tunakusikia na tunakuelewa. Hata zile 'tweet' zako usingezifuta.
Sasa siku wakisikia umekalia kiti sijui itakuwaje ! Keep it up, wananyanyasa sana wanyonge lakini ipo siku!
 
Back
Top Bottom