Asante sana evelyn salt

Titia

Senior Member
Jul 3, 2013
155
113
Hamjamboni,

kwa kweli kwa moyo mweupe naomba sana nikushukuru mwana JF Evelyn Salt. katika thread moja ya lotion ipi nzuri isiyochubua.

kuna sehemu ulicomment kuhusu kutumia mafuta ya mawese na kwa ajili ya kung'arisha ngozi na kulainisha. pia ukaweka tips jinsi ya kufanya miguu iwe laini.

Mimi zote nilifanya. napenda kukwambia kuwa ngozi yangu imeanza kuwa kama ya mtoto mdogo. mpaka mwenyewe nikioga naona raha. na miguu yangu imekua very soft. ingawa changamoto ya mafuta yapo ule unjano na harufu na kuchafua nguo. napaka mara mbili kwa wiki, usiku wkt wa kulala.

kwa kweli mwana JF wewe nakushukuru sana, kwani nimefatilia sehemu nyingi wengine wanasema vitu ambavyo sio real au havina matokeo mazuri sana. ila wewe uliamua kushare idea zako na wenzio. asante sana mpendwa.

Naomba na wote wenye idea nzuri ambao ziliwai kuwasaidia msiwe wachoyo kushare mkiona mtu ana shida inayohusiana.

NB: ningeweza kucoment kwenye ule uzi lakini nimeona bora na wengine waone. may b kule wangesoma wachache.

wasaalam!
 
Evelyn yupo Safi sanaa, ata mimi nakumbuka Alinisaidia vitu Vingi sana wakati nimejiunga hapa,
Pongezi nyingi sana zimwendee huyu kamanda.
 
Hamjamboni,

kwa kweli kwa moyo mweupe naomba sana nikushukuru mwana JF Evelyn Salt. katika thread moja ya lotion ipi nzuri isiyochubua.

kuna sehemu ulicomment kuhusu kutumia mafuta ya mawese na kwa ajili ya kung'arisha ngozi na kulainisha. pia ukaweka tips jinsi ya kufanya miguu iwe laini.

Mimi zote nilifanya. napenda kukwambia kuwa ngozi yangu imeanza kuwa kama ya mtoto mdogo. mpaka mwenyewe nikioga naona raha. na miguu yangu imekua very soft. ingawa changamoto ya mafuta yapo ule unjano na harufu na kuchafua nguo. napaka mara mbili kwa wiki, usiku wkt wa kulala.

kwa kweli mwana JF wewe nakushukuru sana, kwani nimefatilia sehemu nyingi wengine wanasema vitu ambavyo sio real au havina matokeo mazuri sana. ila wewe uliamua kushare idea zako na wenzio. asante sana mpendwa.

Naomba na wote wenye idea nzuri ambao ziliwai kuwasaidia msiwe wachoyo kushare mkiona mtu ana shida inayohusiana.

NB: ningeweza kucoment kwenye ule uzi lakini nimeona bora na wengine waone. may b kule wangesoma wachache.

wasaalam!
bado unatumia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom