Asante Mwanza, UKAWA sasa BAI BAI

Asante Mwanza, UKAWA sasa BAI BAI

Ila CCM mnakosa kitu kimoja tu ambacho ni mhimu AKILI! Wekeni pembeni wasanii harafu ndo muende kwenye mikutano yenu. Are those people happy???
 
Picha Hazipigi KURA
12122928_121936808162979_2989842022478058057_n.jpg
 
Mbn unaanza kujihami unajua km huwa mnaedit picha eee,km hiyo yako ni editting dhahiri
 
Nyomi hiyo imemtia ugonjwa jamaa kashindwa kuhutubia mpakani na Zambia.
 
" Nendeni kwenye mikutano ya kampeni muwasikilize wanasema nini kisha linganisheni muliyoyasikia ili siku ya uchaguzi mufanye maamuzi sahihi"- by mimi.

Tumeshamsiki magufuli october 25 tunakwenda kumchagua Magufuri kwa amani kisha tunarudi majumbani mwetu, hatuta anzisha vurugu wala kukaa vituoni kama wanavyotaka UKIWA, Sisi vijana tunataka kufaidi amani kama mzee kingunge alivcyoifaidi halafu leo anatuletwea za kuletwa, Hatudanganyiki.
 
Mbn unaanza kujihami unajua km huwa mnaedit picha eee,km hiyo yako ni editting dhahiri


Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Furahisha.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa jiji la Mwanza ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa anataka kuibadilisha Mwanza na kuwa jiji kubwa la kibiashara.
Uati uliojitokeza kwenye viwanja vya Furahisha kumsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli.



Msanii wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Furahisha.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuliakiwanadi wagombea ubunge wa jimbo la Ilemela na Nyamagana kwenye uwanja wa Furahisha.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya Uchaguzi mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana kupitia CCM Ndugu Stanslaus Mabula.
Mgombea ubunge wa jimbo la Ilemela Mama Angelina Sylvester Lubala Mabula akihutubia wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Urais upitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana kupitia CCM Ndugu Stanslaus Mabula akihutubia umati wa wakazi wa jiji la Mwanza na kuahidi kuwatumikia wakazi wa jimbo lake kwa nguvu zake zote.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiondoka kwenye viwanja vya Furahisha mara baada ya kumaliza kuhutubia wakazi wa jiji la Mwanza.


[h=3]MKUTANO WA MAGUFULI MWANZA[/h]


 
Back
Top Bottom