Asante Mungu kwa kuniweka mbali na Lowassa tangu mwanzo

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,981
45,903
Toka akiwa CCM sijawahi kuamini katika lolote kuhusiana na aliyekua mgombea wa urais kupitia UKAWA bwn. Edward Lowassa.

Namshukuru Mungu sana kwa kunipa maono kwani ningekua mmoja wapo wa waliofanya kosa la karne kumsupport huyu bwana.

Vitabu vya historia vitaweka kumbukumbu sahihi kwamba sikuwahi na wala sitawahi kumsupport.
 
Lumumba fc kwa kuiga hamjambo...baada ya VUTA-NKUVUTE kuja na Uzi wa kujiweka mbali na mukulu na wewe umeamua kuja na ngonjera hzo..

Afadhali yake katoa na sababu za kufanya hvyo..wewe naona hata sababu hujatoa. Hata heading umekosea badala ya tangu umeandika yangu..hii ni ishara tosha ya jinsi gani umekurupuka baada ya kuona Uzi wa mzee tupatupa.
 
Vuta nikuvute asingeanzisha thread yake ile ungefanyaje?

Kwanini mnakosa maarifa sana wajumbe jamani? Sasa hapa ndio umefanya nini?

Najua lengo ni kufia chama, basi tuwe wabunifu kidogo, tunajidhalilisha sisi, chama na vijana kwa ujumla
 
Ikiwa ni kumchagua Lowassa kuwa Rais basi labda iwe nimeahidiwa Pepo otherwise bora Muda wa kumchagua niwe natotolesha ma bikra wa uswahilini kwangu!
 
Toka akiwa CCM sijawahi kuamini katika lolote kuhusiana na aliyekua mgombea wa urais kupitia UKAWA bwn. Edward Lowassa.

Namshukuru Mungu sana kwa kunipa maono kwani ningekua mmoja wapo wa waliofanya kosa la karne kumsupport huyu bwana.

Vitabu vya historia vitaweka kumbukumbu sahihi kwamba sikuwahi na wala sitawahi kumsupport.
copy and paste, poor lumumba!
 
Toka akiwa CCM sijawahi kuamini katika lolote kuhusiana na aliyekua mgombea wa urais kupitia UKAWA bwn. Edward Lowassa.Namshukuru Mungu sana kwa kunipa maono kwani ningekua mmoja wapo wa waliofanya kosa la karne kumsupport huyu bwana.Vitabu vya historia vitaweka kumbukumbu sahihi kwamba sikuwahi na wala sitawahi kumsupport.

Historia ikukumbuke wewe kama nani huku una ID fake? Acha unafiki!
 
Njaa inakupelekesha

Ova
Toka akiwa CCM sijawahi kuamini katika lolote kuhusiana na aliyekua mgombea wa urais kupitia UKAWA bwn. Edward Lowassa.

Namshukuru Mungu sana kwa kunipa maono kwani ningekua mmoja wapo wa waliofanya kosa la karne kumsupport huyu bwana.

Vitabu vya historia vitaweka kumbukumbu sahihi kwamba sikuwahi na wala sitawahi kumsupport.
 
>>>>>>Lowasa ameitendea haki digrii yake ya Usanii .... Huyu Mzee ni msaniii msanii .. Kawaingiza kingi makamanda..

>>>>>Aliwadanganya makamanda kuwa mabadiliko yanakunya kwa kuzungusha mikono .... Mwisho watazungusha na viuno.

>>>>>Mabadiliko hayaji kwa kudeki bara bara.... Huu ni uchizi na Uhayawani...

Lowasa Ikulu ataisoma kwenye magaZETI ..
 
Pumba pumba pumba kachukue buku 7 lumumba
 
Ubunifu wa vijana wa Lumumba ni hovyo kabisa,yaani hapo kawazindua akili VUTA-NKUVUTE baada ya kutoa ya moyoni dhidi ya Magufuli,mmefanya maigizo nanyi!!
Ndivyo walivyo mkuu, kwani umesahau hata baba yao ni mzee wa kuiga bila kuchemsha akili? Au umesahau enzi ile aliposema naye ni M4C bila hata aibu?
 
Toka akiwa CCM sijawahi kuamini katika lolote kuhusiana na aliyekua mgombea wa urais kupitia UKAWA bwn. Edward Lowassa.

Namshukuru Mungu sana kwa kunipa maono kwani ningekua mmoja wapo wa waliofanya kosa la karne kumsupport huyu bwana.

Vitabu vya historia vitaweka kumbukumbu sahihi kwamba sikuwahi na wala sitawahi kumsupport.
Lowasa ameoa tayari ana familia yake sijui ulitaka kujiwekeee karibu ili upate nini?
 
Lowasa alifanikiwa kukinunua chama..Masaa kadhaa baada ya kuhamia chadema akapewa ruksa ya kupeperusha bendera uchaguzi mkuu (Haijawahi tokea duniani, waliweka historia)..
Walimtusi kila aina ya tusi lakini leo wanaimba kwa mapambio wakimsifu mitandaoni..
Kuna thread humu tukiziweka watu watakimbia..Anayway, Kwa sasa anautaka uenyekiti wa chadema!Mtampa?
 
Toka akiwa CCM sijawahi kuamini katika lolote kuhusiana na aliyekua mgombea wa urais kupitia UKAWA bwn. Edward Lowassa.

Namshukuru Mungu sana kwa kunipa maono kwani ningekua mmoja wapo wa waliofanya kosa la karne kumsupport huyu bwana.

Vitabu vya historia vitaweka kumbukumbu sahihi kwamba sikuwahi na wala sitawahi kumsupport.
Acha kuzingua uwekwe kwenye kumbukumbu kwani we BABA WA TAIFA
 
Huwa naamini ID tunazojipa humu huwa zinaendana na kilichopo akilini mwetu.

Tukumbuke mleta mada anaitwa stroke, pengine ana stroke ya Ubongo.

Kule Facebook kuna Mwana CCM alikuwa hapost jambo mpaka Malisa G apost halafu yeye ndio anakuja kupost kwa kumjibu.

Kusubiri wenzio waanzishe mada halafu wewe uje kujibu ni ukosefu wa ubunifu.
 
>>>>>>Lowasa ameitendea haki digrii yake ya Usanii .... Huyu Mzee ni msaniii msanii .. Kawaingiza kingi makamanda..

>>>>>Aliwadanganya makamanda kuwa mabadiliko yanakunya kwa kuzungusha mikono .... Mwisho watazungusha na viuno.

>>>>>Mabadiliko hayaji kwa kudeki bara bara.... Huu ni uchizi na Uhayawani...

Lowasa Ikulu ataisoma kwenye magaZETI ..

Na akapata kura 6m kwa 8m za JPM aliyekuwa na NEC,TISS, LUGUMI, ESCROW money upande wake? Not a feat huh?
 
Back
Top Bottom