Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Asante mke wangu kwa unayonifanyia

hayo majibishano ndio tofauti huyo alisema wanaishi kwa furaha nikauliza kama ni masaa 24 kwa siku zote saba wanaishi kwa amani kitu anbacho hakiwezekani

the same to me,sina muda mref sana kwenye ndoa lakini alhamdulillah bado sjauona huo ugumu wa ndoa misunderstandings zinatokea za hapa na pale sasa vile tunaishi nazo ndio hutufanya tuione ndoa ni tam

Yes unaweza kuishi hata mwezi hujagambona na mtu nini 24 hours very possible nipo kwenye ndoa 15 years naona kama nimeolewa jana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa mkuu, hakuna kesi, mwenyewe atachuja
Ni wivu tu sio umesema ukweli...
Wewe kama umekutana na mtu wa hovyo usifikiri ni watu wote acheni kukariri maisha pambana na gume gume lako
Nje huku kuna wanaume bora na wanawake bora pia

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ujue ndoa za wengi zinapumulia mashine basi ongelea mambo mazuri mazuri ya ndoa uone comments

Mtoa mada nikusifu wewe kwa kuwa KICHWA cha familia, hawa mikia achana nao maana waliingia ndoa na akili hawana wamebaki kulia lia tu. Endelea kuwa kichwa cha familia.
 
Ukitaka ujue ndoa za wengi zinapumulia mashine basi ongelea mambo mazuri mazuri ya ndoa uone comnents

Mtoa mada nikusifu wewe kwa kuwa KICHWA cha familia, hawa mikia achana nao maana waliingia ndoa na akili hawana wamebaki kulia lia tu. Endelea kuwa kichwa cha familia.

Kabisa aachane na hawa vijana wa humu wasojielewa wanafikiri ndoa zao zinazopumulia mashine na za wenzao ni hivyo hivyo...
Mwisho wa siku Maisha ni kuchagua ukitaka ndoa ya Amani Mbona mnaijenga wenyewe tu mke na mume..
Ndoa nyingi vurugu sbb ya u selfish wa nyinyi wawili tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari ya Jumatatu wana ndugu wote.

Niaze na kumshukuru mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.

Kiukweli wanawake wanamapungu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kua nae. Amekua na mchango mkubwa ktk maisha yetu.

Kiukweli sijawahi kugombana naye wala kumuhisi chochote, amekuwa ni mtu makini, anayetumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekua mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.

Tatizo la sisi wa baba tunapo kuwa katika maisha ya ndoa hua tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.

M/Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikuwa anajua wao ni watu wa kuelekezwa bila ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.

ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dishi limeyumba kidogo

Fanya fanya likae vizuri
 
Hongera kamanda...Mungu awafanyie wepesi muendelee kupenda na kudumu katika ndoa yenu.

kweli ukipata mke bora umepata yote......

Ovaaaa
 
Kuishi na furaha ni maamuzi yako ..
Nipo miaka 15 ya ndoa ila naona ni kama ndoa ya Jana kama sio Leo hata nashangaa hiyo miaka 15 imefikaje naona kama nimeolewa jana
Jinsi nilivyokua na furaha ya ajabu na Amani ilopitiliza I have the best husband in the world

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeongea kweli kabisa mkuu

Hongerah Sana mkuu,

MUNGU awape maisha marefu na upendo zaidi na furaha iongezeke mara nyingi zaidi,

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Sema tu umekubali kuwa bwege kwa mkeo kwa lengo la kuifanya ndoa yako iende, unabeba watoto mgongoni, unapika, unafua, unadeki.. sasa kama unafanya yote hayo ubovu wa mkeo utauona wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 Baadhi ya Wanaume hawapendi kusikia habari kama hizi.
 
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 Baadhi ya Wanaume hawapendi kusikia habari kama hizi.

Wana wivu, stress, chuki na ufinyu wa akili. Sasa kinachosababisha wamponde mwenzao ni nini? Ina maana kwao ndoa ni chuki?

Yani wanachotaka kusikia ni mwanamke anasemwa vibaya baasi.
 
Back
Top Bottom