Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Safi sana Mkuu , moja ya faida ya kuoa Mwanamke makini.

Yote ulosema nikweli,..hata akikosea kupika, usinune, usiache chakula, mwambie "Wife chakula cha leo hakijazidi cha jana /ivi chakula cha Jana ulikiwekea nn wife ?'

Badala yake kuna njemba, yenyewe itasusa , itamtupia chakula, itainuka, itatoka nje kula kwa hotel, hatamsemesha mkewe !!.

Khantwe unaona mwenzako anashukuriwa ???..nawee hongera hahaha
 
😂😂😂😂humu ndani mada nyingi ni kuomba ushauri jinsi ya kuhandle michepuko uzi kama huu hawajazoea so wakiona wanashangaa na kutoa povu hhhaah .
 
Nikuambia kitu.kabla ya kuingia ktk ndoa lazma umuandae kua mke.na yeye akuandae kua mume.wengi wetu huoa kwa mihemuko,aiza
Kipato kimekua.
Ana taka mtoto
Amechoka kuishi pekeake nk.so!uwezi kupata mke bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani zaidi ya maandalizi hayo ya awali pia kuna kitu bahati, kumpata mtu mkaelewana kiasi hiko si kitu rahisi
Nakuombea udumu katika ndoa
 
Habari ya Jumatatu wana ndugu wote.

Niaze na kumshukuru mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.

Kiukweli wanawake wanamapungu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kua nae. Amekua na mchango mkubwa ktk maisha yetu.

Kiukweli sijawahi kugombana naye wala kumuhisi chochote, amekuwa ni mtu makini, anayetumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekua mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.

Tatizo la sisi wa baba tunapo kuwa katika maisha ya ndoa hua tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.

M/Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikuwa anajua wao ni watu wa kuelekezwa bila ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.

ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app
"if the move is too open look for the best move"

kuwa makini pale kila kitu kinaonekana ni chema snaa na kupendeza macho na moyo wako , wasiwasi ndio akili kuwa makini sana mwenzetu
 
Back
Top Bottom