Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Asante mke wangu kwa unayonifanyia

chumanile,

Kuna shida kubwa sana mahali:

1. Umelogwa.
2. Una matatizo fulani kichwani.....

......
 
Usitukane mamba mkuu hujavuka mto, hao viumbe huwa hawaeleweki
Umeshasema,kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa,hiyo ndio bahati pekee ulionayo,sasa usitake kuanza kutulazimisha wenzio tusiokuwa na wake wa hivyo tusitumie mifumo dume kwenye nyumba zetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona umemmudu mmoja ongeza mke mwingine, nikiwa mkubwa nataka kuwa kama dokta Mwaka.
 
mimi hoi na hayo majibu

mbona mnakatisha wenzenu tamaa??? amepata kilichobora kwake msifieni jamani nyie mnaombeza mshazoea kudanganywa had mkapoteza ham kiasi hamtaki kuelewa kama hivi vitu vipo

mtoa mada hongera!! lakini unaposema hamjawahi kukoseana unaongopa bana, ina mana nyie wenzetu ndoa yenu ina furaha 24/7?????

Yes zipo ndoa za hivyo bwana makosa ya kawaida sana sana inakua yaani baada ya nusu saa mnaongea..
Mimi nia ndoa ya miaka 15 sasa is siwezi kusema nimegombana na mume wangu hata siku moja yaani ni majibishano ya kawaida sana ambayo hayapelekei ugomvi wowote yaani ni ile hivi sipendi usifanye Sio vizuri hivyo yaani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aaaaah,,,ndoa mpya huyo....ngoja wakae kae kidogo hapa........atatuletea mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuishi na furaha ni maamuzi yako ..
Nipo miaka 15 ya ndoa ila naona ni kama ndoa ya Jana kama sio Leo hata nashangaa hiyo miaka 15 imefikaje naona kama nimeolewa jana
Jinsi nilivyokua na furaha ya ajabu na Amani ilopitiliza I have the best husband in the world

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kunafikiana kivipi mkuu,na ndoa ina miaka 17,,,huo unafiki si ungekua umeonekana

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power

Achana nao washazoea kuishi kichokoraaa...
Mimi Nina ndoa ya miaka 15 na nipo na furaha ya ajabu sana naona kama nimeolewa jana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku paaaaaap,.. Hautaamini na kifo cha digidigi hapo hapo,... Punguza hizo asilimia ulizompa japo ni kweli,.. Ila kwakua ni mke, Weka asilimia 40 ya chochote kitatokea, ili upunguze ukali wa heart attack .... Wenge la mwanamke ni la aina yake... Lkn hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sema tu nyinyi mna bahati mbaya mnakutana na watu sio so mnaona lila mwanamke ni huyo huyo tu..
Siku paaaaaap,.. Hautaamini na kifo cha digidigi hapo hapo,... Punguza hizo asilimia ulizompa japo ni kweli,.. Ila kwakua ni mke, Weka asilimia 40 ya chochote kitatokea, ili upunguze ukali wa heart attack .... Wenge la mwanamke ni la aina yake... Lkn hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes zipo ndoa za hivyo bwana makosa ya kawaida sana sana inakua yaani baada ya nusu saa mnaongea..
Mimi nia ndoa ya miaka 15 sasa is siwezi kusema nimegombana na mume wangu hata siku moja yaani ni majibishano ya kawaida sana ambayo hayapelekei ugomvi wowote yaani ni ile hivi sipendi usifanye Sio vizuri hivyo yaani

Sent from my iPhone using JamiiForums
hayo majibishano ndio tofauti huyo alisema wanaishi kwa furaha nikauliza kama ni masaa 24 kwa siku zote saba wanaishi kwa amani kitu anbacho hakiwezekani

the same to me,sina muda mref sana kwenye ndoa lakini alhamdulillah bado sjauona huo ugumu wa ndoa misunderstandings zinatokea za hapa na pale sasa vile tunaishi nazo ndio hutufanya tuione ndoa ni tam
 
Zitakuwa ndoa za Malaika watupu

Back
Top Bottom