Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Habari ya Jumatatu wana ndugu wote.

Niaze na kumshukuru Mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.

Kiukweli wanawake wana mapungufu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kuwa nae. Amekuwa na mchango mkubwa ktk maisha yetu.

Kiukweli sijawahi kugombana naye wala kumuhisi chochote, amekuwa ni mtu makini, anayetumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekuwa mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.

Tatizo la sisi wa baba tunapokuwa katika maisha ya ndoa huwa tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.

M/Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikuwa anajua wao ni watu wa kuelekezwa bila ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.

ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndoa ina miezi mingapi?
 
Ujumbe murua kabisa huu na mimi bila hiyana nautuma moja kwa noja kwa mama kijacho wangu.
 
Tutaaminije?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubarikiwe Mkuu

Ni wachache wenye kuishi katika Pepo ya Dunia

Ukimuona Mwanaume,amepata mwanamke mwenye gubu,au ndoa ina misukosuko,Fahamu ndg fahamu,Huyo Mwanaume ndio chanzo au ndio asili ya matatizo mara nyingi

Mke na Mume
Ni sehemu ya Furaha ya Dunia

Kinyume na hivyo
Mwenye pori ndani ya moyo wake,hawezi kuishi ndani ya Moyo ulio na mfano wa Mji kwa maana kamili

Habari ya Jumatatu wana ndugu wote.

Niaze na kumshukuru Mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.

Kiukweli wanawake wana mapungufu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kuwa nae. Amekuwa na mchango mkubwa ktk maisha yetu.

Kiukweli sijawahi kugombana naye wala kumuhisi chochote, amekuwa ni mtu makini, anayetumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekuwa mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.

Tatizo la sisi wa baba tunapokuwa katika maisha ya ndoa huwa tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.

M/Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikuwa anajua wao ni watu wa kuelekezwa bila ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.

ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawajua wanawake wewe.
Ukiona hivyo juwa huyo kakuzidi akili na maujanja.
Anafahamu vizuri kona ambazo upeo wako hauwezi fika.

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana kuna siku utafahamu japo kidogo juu ya mke na huo ndio utakuwa mwisho wa maisha yako maana utajinyonga.

Dont ever trust her , BIBLIA INASEMA ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI. Usije kuta hata watoto wenu ukawa wewe sio baba wa watoto hao.
 
Ukitaka ujue ndoa za wengi zinapumulia mashine basi ongelea mambo mazuri mazuri ya ndoa uone comments

Mtoa mada nikusifu wewe kwa kuwa KICHWA cha familia, hawa mikia achana nao maana waliingia ndoa na akili hawana wamebaki kulia lia tu. Endelea kuwa kichwa cha familia.
...😂😂😂...hao wanaolia waliingia kichwa kichwa ( walikurupuka) sio?
 
Back
Top Bottom