Asante mke wangu kwa unayonifanyia

Asante mke wangu kwa unayonifanyia

sasa mke bora wako huwa hakuelekezi jinsi ya kuandika? ...au una ulemavu wa kudumu mkuu?...mi nikionaga mtu amechanganya R na L ..huwa namtoa kabisa kwenye kujitambua...na huwa simalizagi kusoma hizo msg
 
Yaani una negativity mpaka unaboa daaah!! badilika mkuu
Huyu jamaaa nilikua nataka nimjibu,nikaandika nikafuta,nikaandika nikafuta,nikaandika nikafuta,,,nikaamua niache TU,,yaani haipendezi kabsa,

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Hata ndoa ya wakongwe inawezekana kuwa na furaha kila siku. Ni nyie tu wenyew mtakavyoamua muishi vipi
Nimekupenda bure mkuu,,una mawazo Safi kabisaa,,Kila napotaka kujibu, nakuta umejibu Kama ninavyohitaji

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
sasa mke bora wako huwa hakuelekezi jinsi ya kuandika? ...au una ulemavu wa kudumu mkuu?...mi nikionaga mtu amechanganya R na L ..huwa namtoa kabisa kwenye kujitambua...na huwa simalizagi kusoma hizo msg
Daaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Kila kheri mkuu,,,MUNGU awape upendo zaidi na mzidi kudumu katika furaha,,,,,amina

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
mimi hoi na hayo majibu

mbona mnakatisha wenzenu tamaa??? amepata kilichobora kwake msifieni jamani nyie mnaombeza mshazoea kudanganywa had mkapoteza ham kiasi hamtaki kuelewa kama hivi vitu vipo

mtoa mada hongera!! lakini unaposema hamjawahi kukoseana unaongopa bana, ina mana nyie wenzetu ndoa yenu ina furaha 24/7?????
Rapsha za kawida sana ambazo hazina mazara,wala karaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuambia kitu.kabla ya kuingia ktk ndoa lazma umuandae kua mke.na yeye akuandae kua mume.wengi wetu huoa kwa mihemuko,aiza
Kipato kimekua.
Ana taka mtoto
Amechoka kuishi pekeake nk.so!uwezi kupata mke bora.
Yaaan watu wamezoea ngumu kumeza, Hahahah leo wmekutana na tamutamu za ndoa ya ndugu yetu full kumtolea povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mke bora wako huwa hakuelekezi jinsi ya kuandika? ...au una ulemavu wa kudumu mkuu?...mi nikionaga mtu amechanganya R na L ..huwa namtoa kabisa kwenye kujitambua...na huwa simalizagi kusoma hizo msg
ATA WEWE UNAONEKA NI MIONGONI WASIOJUA (BINADAMU)kaumbwaje.mkamilifu mungu kwani ata wewe unamapungufu jichubguze mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kwanini mnapenda kubashili negativity ,,kwanini usibashiri positive

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
Tunahitaji wanaume KAMA WEWE, hao wengine walishafeli kwenye maisha yao ya mahusiano na ndoa hatuhitaji kuiga chochote toka kwao.
 
Habari ya Jumatatu wana ndugu wote.

Niaze na kumshukuru mungu kwa afya njema alio nijalia neema hii. Pia nimshukuru M/Mungu kwa kunipa mke bora na sio bora mke.

Kiukweli wanawake wanamapungu mengi lakini sio wote. Wapo ambao wanajitambua na kujielewa kama ambavyo wanaume walivyo. Kuishi na mwanamke kunahitaji HEKIMA, BUSARA, NA USTAMILIVU. Ukiwa hivyo utaishi nae kwa wema na amani upendo utaongezeka. Kiukweli mke wangu ni miongoni mwa wanawake wenye upeo na busara kubwa, kiasi ambapo najivunia kua nae. Amekua na mchango mkubwa ktk maisha yetu.

Kiukweli sijawahi kugombana naye wala kumuhisi chochote, amekuwa ni mtu makini, anayetumia busara kubwa katika maamuzi yake. Amekua mcheshi mno , mwenye tabasam kila nikimuona nahisi furaha sana. Pia nami najisifia kwa kuweza kumuendo mke wangu, na kumfanya awe bora.

Tatizo la sisi wa baba tunapo kuwa katika maisha ya ndoa hua tunatumia mfumo dume, mfumo kandamizi, mabavu. Hali hii inafanya wamama kujiona vijakazi mwishowe nao hufanya watakavyo kwa kukosa busara, hekima kwa wanaume wao.

M/Mungu alituagiza tuishi nao kwa akili, alikuwa anajua wao ni watu wa kuelekezwa bila ukali, watu wa kuwapa nafasi nao watoe maoni yao. Na hata ukiwapinga basi tumia akili kumpinga na fosi, nguvu wara kejeri.

ASANTE MKE WANGU KWA KUNIPA WATOTO, ASANTE MKE WANGU KWA KUNIJENGEA HESHIMA.MUNGU IBARIKI NDOA YETU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaume wote wangekuwa hivi jamani 😍😍
 
Hapo ipo shida. Halafu na wewe una mfumo dume,hao sio watoto wako,sema wenu. Kuna uwezekano pia wa mkeo sio na wewe. Rejea njemba ya Gine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom