Akihutubia malaki ya Watanzania Mjini Sumbawanga leo amejibu hoja dhaifu za Dk Slaa, Amesema CHADEMA siyo mali ya Dk Slaa, Mbowe au kiongozi yoyote yule, CHADEMA ni mali ya watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao. Haiwezekani mtu na mke wake wajifanye CHADEMA ni mali yao.
CHANZO: ITV habari saa 23 usku
Mbowe tatizo lake anszani wtz hakuna kumbukumbu 2010 agenda ya Richmond ndo iliwapaisha Leo hii anasema mini?
Shikamooo mboweeee,Shikamooo lowassaaa,Shikamoooo kamati kuuu chadema,Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Siyo labda tupo tena mamilion tunaamini ivyo kwamba chadema ni mali yetu, then mbona majibu yako yametawaliwa na hofu hofu sana kama magamba?
Wewe Mwanakijiji, umeshaona clip ya Dr.Slaa Serena Hotel akiwa na wale wenzetu wa suti nyeusi au? Maana naona ni km unamwamini mtu kupita kiasi. Nilikuwa hivyo kwa Dr.hata mimi lakini baada ya hiyo clip ya CCTV camera, nimebaki mdomo wazi. Sijui lkn maana wengine watasema vingine km iko edited or whatever lkn wataalamu watatusaidia kujua ukweli juu ya yanayoendelea
Akihutubia malaki ya Watanzania Mjini Sumbawanga leo amejibu hoja dhaifu za Dk Slaa, Amesema CHADEMA siyo mali ya Dk Slaa, Mbowe au kiongozi yoyote yule, CHADEMA ni mali ya watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao. Haiwezekani mtu na mke wake wajifanye CHADEMA ni mali yao.
CHANZO: ITV habari saa 23 usku
Kwani Hujui Kama Alishakuwa Gamba?
Tatizo vijana wa ccm mmezowea maneno ya taraabu sana na maneno mengi ambayo hayana maana anayeweza kukuelewa ni zuzu wa Act au wa Ccm wa Tanzania tumesha amuwa hii vita ccm na vikundi venu ya bongo flavor hamtaweza wana nchi hatutaki mziki wala taraabu ata angefufuka mzee komba msimamo wetu upo palele no way ccm mshakufa mnanuka!Lowassa katokea CCM kumbuka ambako kaonekana hafai na kaanza kampeni yake miaka mingi sana wao ndio wanayemjua vizuri zaidi kwanini hafai kutokana na makando makando yake na wanajua ana support vilevile kwakuwa amekuwa akitumia media na hela yake muda mrefu sana obvious anaingia na advantage tayari ya utambulisho fake kinyume na uhalisia wake.
Kama una akili timamu Lowassa na Magufuli yupi unaweza mtetea mahakamani kwa kulijali taifa lake, ningeelewa Magufuli kupambanishwa hata na Mbowe, Lissu, Lipumba, Slaa or any of them ambao wapinzani. Lakini huyu kweli leo wapinzani wakusema ndiyo raisi anaefaa hivi CCM wanavyotaka kubaki madarakani wangemtoa kweli kama ni ticket ya ushindi kirahisi.
Umejiuliza katiba ya CDM imewezekana vipi kuvunjwa kuengua uteuzi wa Dr.Slaa, wakati CCM wanapigana kuwaondoa mafisadi ndani kwao CDM wanawapokea na kuwaita mashujaa wa ukombozi; inataka uwe na mtindio wa akili kuamini huyu bwana kuwa fair amejaribu kununua nafasi CCM kashindwa, CDM wamenunulika maana Dr.Slaa tayari alikuwa mgombea wao au unataka kusema sababu ya Lowassa kupewa nafasi CDM ni kwa sababu ya his clean track record on public services.
Kwanini amuwaoni hawa watu for what they are opportunists tu Mbatia, Mbowe na sasa huyu Salum Mwalimu ni kama mtoto wa kisiasa Mbowe he never had mpaka alipotokea maana wote wamekaa kisanii sijaona.
Hutushangazi tumeshakujua tangu endeea kupalilia kwa jirani lakini wana mabadiliko hutubandui unajifanya wewe ni mesiaNa kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
kuna watu wanawaandaa na kuwaaminisha watu kuwa UKAWA watashinda Oktoba 25 kwa nafasi ya URAIS. Hii haiwezi kutokea. Magufuli atashinda kwa kati ya asilimia 66 na 78.
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Naona uko vitani na CHADEMA...Nakuhakikishia utafeli kama walivyofeli wengine
Teh Teh eti nasikia Dr Slaa alikuahidi akiwa Rais angekurudisha nchini uwe una muandikia hotuba kwa hiyo umekasirika yeye kukatwa?Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Teh Teh eti nasikia Dr Slaa alikuahidi akiwa Rais angekurudisha nchini uwe una muandikia hotuba kwa hiyo umekasirika yeye kukatwa?