Asante Mh. Mbowe!


acha kupotisha uma! ni mali ya kaskazini, chini ya mkweo na wewe ukiwa kama kiongozi mkuu.
 

Umeongea kwa Huruma, na Hofu sana umekuwa kama bibi wa kijjn wa miaka ya zaman sana, poleni sana Magamba hapa ni Lowasa, Mambo ya kulalamika na kushangaa tumewaachien nyie na Mgombea wenu
 
kuna watu wanawaandaa na kuwaaminisha watu kuwa UKAWA watashinda Oktoba 25 kwa nafasi ya URAIS. Hii haiwezi kutokea. Magufuli atashinda kwa kati ya asilimia 66 na 78.
 
Ajenda ya Richmond iliwapaisha wapi? Mbona hamkuwapa kura za urais pamoja na hiyo ajenda yao ya Richmond?

wanaccm wengi vichwa vyao wanatumia kufugia chawa unajiuliza hiyo kama 2010 ajenda yetu ilikuwa ufisadi ccm ilishinda kumbe mwaka huu ajenda ibaki ileile ili iweje sasa
 
kuna watu wanawaandaa na kuwaaminisha watu kuwa UKAWA watashinda Oktoba 25 kwa nafasi ya URAIS. Hii haiwezi kutokea. Magufuli atashinda kwa kati ya asilimia 66 na 78.

thuubutu!! Pombe amesha shndwa kabsa na amekata tamaa yani amebebeshwa mzigo mzito mno,.Lowasa ndiyo rais wetu hilo halina mjadala
 
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.

Naam hata mimi naaamini hivyo hata mbowe akionwa kabanwa aruke asepe zake sisi ni mbele kwa mbele haturudi nyuma tusije geuka jiwe la chumvi kama mke wa lutu.
 
Umeongea kwa Huruma, na Hofu sana umekuwa kama bibi wa kijjn wa miaka ya zaman sana, poleni sana Magamba hapa ni Lowasa, Mambo ya kulalamika na kushangaa tumewaachien nyie na Mgombea wenu
Lowassa katokea CCM kumbuka ambako kaonekana hafai na kaanza kampeni yake miaka mingi sana wao ndio wanayemjua vizuri zaidi kwanini hafai kutokana na makando makando yake na wanajua ana support vilevile kwakuwa amekuwa akitumia media na hela yake muda mrefu sana obvious anaingia na advantage tayari ya utambulisho fake kinyume na uhalisia wake.

Kama una akili timamu Lowassa na Magufuli yupi unaweza mtetea mahakamani kwa kulijali taifa lake, ningeelewa Magufuli kupambanishwa hata na Mbowe, Lissu, Lipumba, Slaa or any of them ambao wapinzani. Lakini huyu kweli leo wapinzani wakusema ndiyo raisi anaefaa hivi CCM wanavyotaka kubaki madarakani wangemtoa kweli kama ni ticket ya ushindi kirahisi.

Umejiuliza katiba ya CDM imewezekana vipi kuvunjwa kuengua uteuzi wa Dr.Slaa, wakati CCM wanapigana kuwaondoa mafisadi ndani kwao CDM wanawapokea na kuwaita mashujaa wa ukombozi; inataka uwe na mtindio wa akili kuamini huyu bwana kuwa fair amejaribu kununua nafasi CCM kashindwa, CDM wamenunulika maana Dr.Slaa tayari alikuwa mgombea wao au unataka kusema sababu ya Lowassa kupewa nafasi CDM ni kwa sababu ya his clean track record on public services.

Kwanini amuwaoni hawa watu for what they are opportunists tu Mbatia, Mbowe na sasa huyu Salum Mwalimu ni kama mtoto wa kisiasa Mbowe he never had mpaka alipotokea maana wote wamekaa kisanii sijaona.
 
Watanzania wengi tumeshaamua kuwa tutamchagua lowassa kuwa rais na amiri jeshi mkuu wa jmt.
 
Kwa mawazo yangu naona sasa hivi Dr. Slaa anajuta sana. Masilahi yote kama mshahara sasa hakuna, gari amenyang'anywa na itachukua muda mrefu mpaka kuja kujipanga. Maamuzi ya kukurupuka ni mabaya sana. Kwanza fanya utafiti na pia kupata washauri.
 
Risasi ya mwisho ya sisiem yasepa nchini kwa aibu kubwa . Sasa nimepata picha kwann Dr slaa alishindwa kumtumikia mungu ktkt upadrii wake . kiujumla hafaii na hato faa ktk uongozi .
 
Sisi wote tumeona Taarifa hii Itv lakini cha ajabu unamshambulia mleta mada kwa sababu tu unasukumwa na maamuzi kutokea makalioni,tukueleweje?.

Mkuu amechanyikiwa huyo janja yao kwisha kabsa, Magamba wamepoteana kabsaa hawana mvuto, wamechokwa kwa fix zao
 
Naona project ya kuhakikisha CCM inatawala milele mnaisimamia vyema...embu ngoja tuangalie nguvu ya wananchi vs wenye ambition zao kisha tujue ni nani mwenye nchi na ni nani mwananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…