Asante Mh. Mbowe!

Asante Mh. Mbowe!

Ajenda ya Richmond iliwapaisha wapi? Mbona hamkuwapa kura za urais pamoja na hiyo ajenda yao ya Richmond?

Kwani falsafa iliyowajenga cdm ulikuwa ni nini?kumuulize kilichomsaidia nsdari kushinda ubunge kama sio Richmond na wizi wa lowasa wa milion300 kwenye jumbo lake
 
Mbowe tatizo lake anszani wtz hakuna kumbukumbu 2010 agenda ya Richmond ndo iliwapaisha Leo hii anasema mini?

Mambo ya richmnd tumesema nenden mahakan, kwa sasa tupo busy na kampeni tukimdad rais wetu lowasa, nyie bakien na iyo richmnd yenu
 
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.

hili neno la mwisho lazima uende jela, sheria ya makosa ya mtandao itakupitiatu kwa kudhani ukitukana ndio unakisaidia chama chako,
 
Akihutubia malaki ya Watanzania Mjini Sumbawanga leo amejibu hoja zaifu za Mla Mihogo(dk slaa), Amesema chadema siyo mali ya Dk slaa, Mbowe au kiongozi yoyote yule, chadema ni mali ya watanzani wenye mapenz mema na nchi yao,.Haiwezekan mtu na mke wake wajifanye chadema ni mali yao..sourc itv habar saa 23 usku

Hivi wapo watu wanaoamini hii kitu ni Mali yao???hakika watanzania mnaojiita watakamabadililo mkapimwe akili zenu.
 
hili neno la mwisho lazima uende jela, sheria ya makosa ya mtandao itakupitiatu kwa kudhani ukitukana ndio unakisaidia chama chako,[/QUOT
Hawana hoja walizoe matudi acha waendele kura watapigia gerezani si wanajifanya wsnamiemuko?
 
Unajua maana ya amiri jeshi mkuu na sifa zake? Au unaleta mboyoyo tu hapa MTU mwenyewe hata 30 mnt hawezi kusimama eti amiri jrshi mkuu,pole sana

Tanzania nchi rais wetu Lowasa, kubalini kukabidh nch kwa Aman
 
Amenifarahisha sana kamanda mbowe ametoa majibu kama alikua kwenye akili yangu.pongezi nyingi pia kwa kamanda mbatia big up sana ameongea na waandishi wa habari na kutema sumu kali
 
Ukisikia PAH! Ujue pancha! na ukiona manyoya ujue kaliwa. Pole naona imekuuma.

Isome tena;
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.

Insanity is a dope
 
Mambo ya richmnd tumesema nenden mahakan, kwa sasa tupo busy na kampeni tukimdad rais wetu lowasa, nyie bakien na iyo richmnd yenu

Rais wa wapiga diri? Mwaka huu mtajibeba,maana hata kuongea hawezi,pole sana,
 
Amenifarahisha sana kamanda mbowe ametoa majibu kama alikua kwenye akili yangu.pongezi nyingi pia kwa kamanda mbatia big up sana ameongea na waandishi wa habari na kutema sumu kali

Mbowe komedi tu mbatia hana lolote eti viongozi wa dini wasijitokeze kuna mini hapo?
 
Nani atakaye kabizi nchi genge LA majizi?,
Tena usirudie kumuita amiri jeshi,maana hata sifa moja hana

Hayo Majambazi ya escrw, twiga, Pembe na nyumba za serkal ndo uyakabidhi nchi, aisee jitafakarii
 
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.

we una shida zako... unafahamika

Ulianza na kile chama chako mlichoanzisha na Nape kikafa kabla ya muda... since then ulipoteza kabisa credibility and you know it
 
Amenifarahisha sana kamanda mbowe ametoa majibu kama alikua kwenye akili yangu.pongezi nyingi pia kwa kamanda mbatia big up sana ameongea na waandishi wa habari na kutema sumu kali

Umeonaee kwiukweli na kiroho safi Makamanda wako vizr, siyo kama jamaa wa lumumba
 
Tuache kukurupuka Demokrasia ni wengi wape na mawazo ya wachache yaheshimiwe..........Mzee yule ana haki ya kuongea anachoona ni sahihi!
 
Ukisikia PAH! Ujue pancha! na ukiona manyoya ujue kaliwa. Pole naona imekuuma.

Isome tena;
WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.

Endeleeni hivyo hivyo mkija kushtuka watu wanarudisha Soft loan ........! Hii nchi itanyooka tu baada ya uchaguzi watu wameichezea sana.
 
Back
Top Bottom