Ahsante Rais Samia, kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

Pole TAGA kwa msiba wa BABA.

Ndio hivyo mama kaonyesha yeye sio marehemu mnyima haki za watu.

Ngoja sisi 24/July tukimbilie NMB, We endelea na matanga.

Ila baba ako mnyima haki za watu hawezi kuwa kiongozi wa malaika Hawa naowajua Mimi labda malaika wale wa Ufunuo wa Yohana (666).

CGA alitudhihirishia baba ako alikuwa mwizi balaaa.

#YNWA
Sawa bana, nikukumbushe tu ndugu yangu unayesubiria NMB.

week hii mambo hayakua sawa nimeingiza 1980000 tu.
Mambo yamebana kidogo
 
Pole sanaa TAGA.
Na pole kwa msiba wa kufiwa na baba.

Katibu mkuu utumishi (Ndumbaro) na waziri wa TAMISEMI (Ummy) walielekeza na kusisitiza kutochelewa kwa madaraja ili kutozalisha deni (arrears).

Huu ni utawala mwengine yule mnyima haki mwache ale vitasa za uzurimishi huko..!!!

#YNWA
Mna shida sana .... Subiri uone ...... Kaa kwa utulivu. Ndio uje uhadithie .... Shida yenu mnaingiza siasa kwenye utaalamu. Mshahara utabadilika lakini mtangoja sana . Ukibadilika tarehe ya kwenye barua njoo hapa.. Kama ndio unasubiri kupanda Mara ya kwanza wenzako tushapanda mara3. Karibu
 
Unaongelea historia Mkuu..tarehe ya mwisho ya kupandishia watumishi wa umma ilikuwa 12 Juni..unajua kwanini..mtiririko wa maandalizi ya mshahara ndio unaanza hapo hivyo hata hawa walipewa barua mwezi huu ongezeko litakuwepo. Hii imefanyika ili kuondoa mlundikano wa hayo madai kama miaka ya nyuma.
Karibu... Kwa hiyo mshahara wa juni utabadirika!! Kisa payroll zinafanyiwa kazi before 15th ya mwezi!!?? Ngoja muone ... Nawaambia kwa uzoefu ... Na mpaka sasa ni walimu tena baadhi waliopewa barua za madaraja... Yaaani mkiwahi ni mwezi wa 11-12 huko.
 
Yaa huwa inachelewa ndo maana watu huwa wanadai arreas....
 
Mna shida sana .... Subiri uone ...... Kaa kwa utulivu. Ndio uje uhadithie .... Shida yenu mnaingiza siasa kwenye utaalamu. Mshahara utabadilika lakini mtangoja sana . Ukibadilika tarehe ya kwenye barua njoo hapa.. Kama ndio unasubiri kupanda Mara ya kwanza wenzako tushapanda mara3. Karibu
Nilitakiwa kupanda mara 2 ila baba ako alininyima kupanda mara mbili.

Hili nitaenda kusema hadi kwa Mungu, nione kama atampa hao malaika awaongoze.

#YNWA
 
Hapo unadhani unamkomoa mwanasiasa au unamkomoa mwananchi ambaye ni mhanga kama wewe?
Mimi nilidhani utafute kazi nyingine! Chukulia mwalimu akifundisha chini ya kiwango wanaoathirika ni wanafunzi ambao mtoto wa mwanasiasa wala hasomi shule za umma. lakini pia mtaani kuna waalimu wengi wanaolilia hiyo ajira ambayo wewe huitendei haki.

Wakristo wanakumbuka kuna neno linasema kati Warumi 10:17 limerudiwa katika kitabu cha Nahumu kusema " Mwenye haki wangu ataishi kwa imani yake" Dhuruma haijawahi kuwa jibu la dhuruma,unapomdhurumu mnyonge kwa kisingizio cha kwamba wewe unadhurumiwa,
ujiandae kukutana na mkono wa Mungu ukipingana nawe.

Ne heri kutoa huduma stahiki huku ukimuomba Mungu azibariki kazi zako nyingine za mikono
unazojishughulisha nazo baada ya kazi na Mungu atakubariki kupitia huko maana hilo ni zao la haki.
Mkuu umeongea vema sana tena hisia kali. Ila nitajibu kistaarabu kabisa.

Hao wananchi si ndiyo wale wale wanaoshangilia kuona mtumishi anatumbuliwa?

Hao wananchi si ndiyo wale wanaowachukia watumishi na wakuwaita wezi? Hivi mwalimu wa chekechea anaiba nini, chaki?

Hao wananchi si ndiyo walioshangilia kipindi cha mwendazake kuwa watumishi wa umma nidhamu imerudi kazini lakini wakasahau kuwa watumishi wanaishi kama vinyamkera kwenye nchi yao wenyewe?

Umeongelea mwalimu ambaye ameshakuwa punching bag ya wanasiasa. Vibao, viboko, kufungwa, kudhulumiwa, kudekishwa madarasa, kuonewa nk hufanyiwa yeye na bado unataka akufundishie mwanao kwa weledi?

Wanafunzi wakifaulu lawama kwa mwalimu. Wakifeli lawama kwa mwalimu. Wasijue kusoma lawama kwa mwalimu.

Mwalimu yuleyule ambaye hajawahi kujengewa makazi na serikali, hajapanda daraja miaka 7, hana posho, hana nyongeza ya mshahara kwa miaka 7, analipa kodi na bili zote kwa mshahara wa laki 2.

Huyo uliyemtaja ni mungu na sio Mungu. Kipindi hiki watumishi wanafanya kazi kulingana na wanavyolipwa. Huwezi kufanya kazi kiweledi kwenye nchi yenye double standard kama hii ambayo wanasiasa kutwa kucha wanakuka mema ya nchi hata wakitegemea watumishi wa chini wakalipwe mbinguni, mbingu ipi inayoonea watu wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa bana, nikukumbushe tu ndugu yangu unayesubiria NMB.

week hii mambo hayakua sawa nimeingiza 1980000 tu.
Mambo yamebana kidogo
Wewe ni **** unanijua?

POLE.

NENDA IRINGA KILOLO ULIZA LIVERPOOL WA MAPARACHICHI FALA WEWE.

Unajua msimu huu nimechuma michumo mingapi, ya Tani ngapi, na mkenya kaniingizia TShs ngapi CRDB?

Unajua kuwa muda huu Nauza rejected Tani ngapi, na TShs ngapi?

Unataka nifunguke...

Njoo huku nikuonyeshe misitu ya pine na mlingoti yenye miaka zaidi ya mi5.

Nyauu kabisaaa

Kuna watu hatupendi na hatutaki BUSINESS tunapenda INVESTMENT.

INVESTING IS BETTER THAN BUSINESS.

ACHA DHARAU.

#YNWA
 
Ndugu.
Pamoja na kumuelewa lakini pia tafakari na hii. PAYE imeshushwa kutoka 9% hadi 8% ni jambo jema lakini inawezekana isiwe na maana kushuka kwa sababu kama hizi.

1. Kodi ya laini za simu imeanzishwa jambo ambalo litahitaji ile hela ya punguzo kwenye PAYE.

2. Kodi ya majengo kupitia kununua LUKU ambapo utalazimika kulipa pale unapolipa bill ya umeme ukiwa kwenye nyumba ya kupanga au ya kwako.

3. Kuwepo kwa kodi mpya kwenye miamala ya simu kila unapotuma na kutoa hela.

4.Ongezeko la kodi kwenye bidhaa za mafuta ya dizeli na petrol ambapo gharama za usafiri na usafirishaji zinatarajiwa kupanda.

Kwa hizi baadhi ya kodi mpya ni vigumu kumuelewa mama kwani ni kama mtu amekukupunguzia shs. Mia kwenye hela unayopata ila atachukua elfu moja kwako.
Potelea mbali itajulikanaga mbele kwa mbele.
 
Hivi ni lini mwalimu wa Tanzania naye ataanza kulipwa posho?

Kumkubali huyo mama ambaye ni zao la udhalimu wa mwendazake mimi wala siungani naye. Kipindi nateseka alikuwa VP na hakuwahi hata kutoa tamko.

Watumishi tuna madai mengi sana kuanza kusifia mapema namna hii wakati hadi muda hakuna kilichobadilika mfukoni inaonesha ni jinsi gani watumishi wa umma hatujielewi.

CCM ni ileile na viongozi ni walewale. Watumishi wa umma ni muda kutafuta malisho mengine huku tukifanya kazi zao kadiri tunavyolipwa.

Mtumishi wa umma kumsubiri mwanasiasa akupe mishahara minono ni sawa kumtegemea shetani akupeleke mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda taratibu Mkuu,mambo mazuri hayataki haraka.
 
Pole TAGA kwa msiba wa BABA.

Ndio hivyo mama kaonyesha yeye sio marehemu mnyima haki za watu.

Ngoja sisi 24/July tukimbilie NMB, We endelea na matanga.

Ila baba ako mnyima haki za watu hawezi kuwa kiongozi wa malaika Hawa naowajua Mimi labda malaika wale wa Ufunuo wa Yohana (666).

CGA alitudhihirishia baba ako alikuwa mwizi balaaa.

#YNWA
Yaani kuongezewa TZS 30,000/= unashangilia kama zuzu mkuu? Kupandishwa daraja haina maana kabisa.
 
Hivi ni lini mwalimu wa Tanzania naye ataanza kulipwa posho?

Kumkubali huyo mama ambaye ni zao la udhalimu wa mwendazake mimi wala siungani naye. Kipindi nateseka alikuwa VP na hakuwahi hata kutoa tamko.

Watumishi tuna madai mengi sana kuanza kusifia mapema namna hii wakati hadi muda hakuna kilichobadilika mfukoni inaonesha ni jinsi gani watumishi wa umma hatujielewi.

CCM ni ileile na viongozi ni walewale. Watumishi wa umma ni muda kutafuta malisho mengine huku tukifanya kazi zao kadiri tunavyolipwa.

Mtumishi wa umma kumsubiri mwanasiasa akupe mishahara minono ni sawa kumtegemea shetani akupeleke mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angetamka nn mama wa watu ingali alikuwa anashuhudia wenzake wakishushwa wazimawazima wakileta kihelehele
 
Acha uongo yaani daraja upandishwe 300K serikalini? Hata private ni watumishi wachache sana wanaopandishwa kwa kiasi hicho.
TGS C = 535,000
TGS D = 745,000
TGS E = 975,000
TGS F = 1,215,000

Anza A na endelea G ......

#YNWA
 
Pelekeni ujinga wenu wa ubinafsi huko, mnafikiri kila mtu kaajiriwa na serikali.
Nyinyi Mwendazake alikataa kuwapandisha madaraja na marupurupu kwasababu wengi ni majizi ya nchi hii,mnajitungia semina za ajabu ajabu kisha mnakula hela yetu ya kodi.

Watumishi wenyewe wavivu,wezi na wala rushwa wakubwa
Unajua watumishi ni walipa kodi waaminifu? Kila mwezi wanakatwa kodi unapo sema wanatafuna kodi zenu.. Ukimaanisha wenyewe sio wachangiaji?
 
Back
Top Bottom