Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 5,798
- 13,042
- Thread starter
- #21
Pole sanaa TAGA.Utangoja sana .. Haipungui miezi 6 mpaka mshahara kueffect cheo kipya. Vumilia tu
Na pole kwa msiba wa kufiwa na baba.
Katibu mkuu utumishi (Ndumbaro) na waziri wa TAMISEMI (Ummy) walielekeza na kusisitiza kutochelewa kwa madaraja ili kutozalisha deni (arrears).
Huu ni utawala mwengine yule mnyima haki mwache ale vitasa za uzurimishi huko..!!!
#YNWA