fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,295
- 8,569
Kasherehekea au kakumbuka mazuri mama yake aliyomfanyia?Sijui kwanini huwa naona wanaosherekea hizi sikukuu wana mambo ya kike.
Ni uhuru wako wa kibinadamu kuwaza na kuamini hivyoSijui kwanini huwa naona wanaosherekea hizi sikukuu wana mambo ya kike.
Asante kwa kumuelewesha,tena sijayaweka mema yote ya mama na maajabu ya mama.Hebu fikiri,akiwa msichana wa miaka 17 ambae hakuwahi kusoma japo darasa moja,akiwa hajui kusoma wala kuandika,lakini akaolewa na mzungu na ndio katuzaa sisi.Kasherehekea au kakumbuka mazuri mama yake aliyomfanyia?
Uzuri hili bandiko haliondoi nguvu zake za kiume.
Hongera kwa kua chotara! Wamama wanajitoa muhanga sana kwaajili ya watoto waoAsante kwa kumuelewesha,tena sijayaweka mema yote ya mama na maajabu ya mama.Hebu fikiri,akiwa msichana wa miaka 17 ambae hakuwahi kusoma japo darasa moja,akiwa hajui kusoma wala kuandika,lakini akaolewa na mzungu na ndio katuzaa sisi.
Ni kweli na alipitia kila aina ya misukosuko,lakini uvumilivu wake na mapambano yake,hakika sisi watoto wake wote tunamjivunia.Hongera kwa kua chotara! Wamama wanajitoa muhanga sana kwaajili ya watoto wao
Ni wazo zuriPongezi sana kwao , wale ambao mama zao wapo hai leo tuwabless na vipesa kidogo waJipongeze hata na vi bia viwili πΊ
View attachment 3586385
Ni kweli.Natamani kuandika japo uzi mfupi kuhusu mama alivyotulea,tulivyokua na kujitegemea na jinsi alivyotuaga kuwa anaondoka kuelekea ulaya na mumewe na kuniagiza mie nimtunzie ndugu zakeMama yako alikuwa miongoni mwa mama bora.aliwakuza kwenye maadili na njia iliyonyooka.
Ni wamama wengi zamani walikuwa hivo
Usiniulize haya nimeyajulia wapi.hongera
Umesoma kichwa cha habari umekimbilia kucommentUpumbavu huu.... kwa hio mama yako anasoma hapa ?
Huu mda na nguvu ulotumia hapa , ungempa zawadi nzuri anayoipenda...... ! Pengine ungeonekana wa maaana ....
Sio kuja kujaza server hapa !
Unadhan wengine hatuna mama ? Hatuwapendi ?
Nimeseoma, my point is mama yake yupo hapa ? Anasoma huu ujumbe makhususi kwake ? Mitandao isitufanye tuwe wajingaUmesoma kichwa cha habari umekimbilia kucomment