Asante Majizo na TV E

Asante Majizo na TV E

Channel haipo kwa sie tunaotumia startimes ya satellite dish... Au ni dar tu?
 
Muda wooootee utasikia eeeeeh brother!!! Lile tangazo la coca mara mtandao wenye kasi,yani kipind cha nusu saa matangazo ya nakula 20 minutes
 
Uzuri wa tve ndo kwanza wanaanza ila tayari wa HD wakati hawa tv ya rais wa mkoa bado wapo analogi tena sasa hv wanastaki staki kila dkk
 
Kwa watumiaji wa star times-dishi...tunaimis sana.
angalau na sisi watuwekee tufaidi muziki..
 
Baada ya ITV kutusaliti na taarifa za habari zisizoeleweka kwasasa watu wanaona bora kuangalia tu music kwenye Tv E ..

Yaani si kwenye mabaa si majumbani watu wanaburudika tu na TV E , huko kwenu vipi ?
 
Back
Top Bottom