Asante Magufuli kwa kutupa elimu bure

Asante Magufuli kwa kutupa elimu bure

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,039
Katika jambo tutakalokukumbuka ni kukuza elimu, kwa kufanya elimu bure automatically tunaunda EDUCATED NATION, which will see economic growth. As quality of labour is IMPROVED and when, combined with other factors of production lazima tusonge mbele ninachokuomba sasa, ni you impose high tax for people earning higher wages to remove INEQUALITY people like doctors, lawyer should be taxed more.

Mkinipopoa na mawe nakimbia.
 
....katika jambo tutakalokukumbuka ni kukuza elimu,kwa kufanya Elimu bure.

....kwa kufanya elimu bure automatically tunaunda EDUCATED NATION,which will see economic growth. As quality of labour is IMPROVED and when,combined with other factors of production...lazima tusonge mbele...................

ninachokuomba sasa ,ni you impose high tax for people earning higher wages....to remove INEQUALITY.......people like doctors,lawyer should be taxed more....

mkinipopoa na mawe nakimbia.....

Haya.... Amekusikia "njoo tupige Picha sasa wewe"
 
Ha ha ha! Pengine wote twachanganya.... Kuja PM tusije endelea changanya in Publick anonymous wangu
 
Umemaliza????

nilikua nataka kusema bado tuko kny stage ya kutoka,Magufuli nina Imani nae atatufikisha mbali....mfano electricity ni necessity,Tanesco wakiongeza bei watu hawawezi kuhama kampuni within a day...inachukua muda,what am tryrig to say tumpe muda magufuli
 
Unapenda Communism??? Sasa mbona unataka usawa kwenye mishahara kwani wote mlitumia miaka sawa mashuleni??? nani alikuambia EQUALITY ni tabia ya nature??? guyz yaani hadi madoctor mnawaonea gere???...TO BE HONEST, NILICHOKIONA HAPA NI WIVU.
 
usiogope,utakachokatwa still ni relative small compare what you earn lol.....

yaani unataka ukatwe sawa na baamedi,mkuu mmmnh.....

hujui hio pesa itaimprove social services such as water ,health,,,,,,,,,and the more we collect tax ,the more improvement of these services,,,,

by the way this goes even up to your relatives,that you left them kijijini.....
 
Hahahahaaa ukafikiri nategemea kuhesabiwa pesa kila baada ya siku 30??? Ntengeneza pesa mwenyewe na sijui mshahara ulivyo coz sipokei mshahara bali natoa...ila hao watu wanastahili ujira mkubwa coz kazi zao siyo kitoto.
 
nigaie na mimi basi....
 
Yule mwingine angetoa elimu bure hadi Chuo Kikuu. Kungekuwa na Richmond kama 20 hivi kufikia wakati huu!
Tusubiri 2020 aingie Ikulu anadai njia nyeupe. Tayari ukawa wamemteua kugombea na watanzania wote watampa kura.
 
nilikua nataka kusema bado tuko kny stage ya kutoka,Magufuli nina Imani nae atatufikisha mbali....mfano electricity ni necessity,Tanesco wakiongeza bei watu hawawezi kuhama kampuni within a day...inachukua muda,what am tryrig to say tumpe muda magufuli
Kila Mwanalumbuma hutolea mfano wa Tanesco na Luku, tumechoka sasa hebu tupeni mifano mingine, kama elimu imefikia wapi mpaka sasa (bila shaka ni pagumu, maana 20000 ya mwanagunzi wa sec. Itolewayo kama ruzuku igawanye kwa miezi 12, utaiona hali ya shule inavyoyumba) Afya je? Mpaka sasa tumeripot chanjo hakuna mengine hatusemi! Wafanya biashara mmewafikisha wapi mpaka leo!? Hali za wafanyakazi nao! Tachen drama za imani imani iman Mh abadiri njia hii tunayopita inatuumiza inamiba mingi wakati tunatembea peku
 
Ili tufurahi zaidi aboreshe maslahi ya walimu, vyumba vya madarasa, vitabu na mazingira mengine Rafiki ya kujifunzia vingenevyo hiyo bure itakuwa haisaidii, elimu itaendelea kuwa mbovu tu
 
Kila Mwanalumbuma hutolea mfano wa Tanesco na Luku, tumechoka sasa hebu tupeni mifano mingine, kama elimu imefikia wapi mpaka sasa (bila shaka ni pagumu, maana 20000 ya mwanagunzi wa sec. Itolewayo kama ruzuku igawanye kwa miezi 12, utaiona hali ya shule inavyoyumba) Afya je? Mpaka sasa tumeripot chanjo hakuna mengine hatusemi! Wafanya biashara mmewafikisha wapi mpaka leo!? Hali za wafanyakazi nao! Tachen drama za imani imani iman Mh abadiri njia hii tunayopita inatuumiza inamiba mingi wakati tunatembea peku

mkuu

mpe benefit of a doubt,jaribu kuangalia hivyo vigezo vyako-elimu,afya na biashara in next six months or a year may be? then tutajua argument yako ni sahihi ama la ..tunamlaumu sana Magu ,tunasahau na yeye ni binadamu sio machine
 
Elimu haijawahi kuwa bure.. WENZAKO WANACHANGISHWA MCHANGO WA MADAWATI KIBABE/KILAZIMA..... mchango wa maabara.. halafu watakuja kufanya mtaji wa sera zao za majukwaani kuombea kura
1470485749001.jpg
 
Back
Top Bottom