Asante Magufuli ila chamoto nimekiona

Asante Magufuli ila chamoto nimekiona

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Nimeianza safari mapema leo asubuhi nikiwa njia moja kwendda kulitumikia Taifa langu baada ya kuhamishwa kituo changu cha kazi kutoka Wilaya ya Serengeti kwenda Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita niko ndani ya lori ndogo aina ya Canter ikiwa na vyombo vyangu nimefika Mwanza nikafanya mahitaji baadae njia. moja kwenda kivukoni nimetumia kivuko cha Kigongoni-Busisi.Duh saa saba mchana nilikuwa tayari kwenye foleni ya kuvushwa ila sasa tokea saa saba mchana hadi hivi sasa saa mbili kamili usiku ndio niko ndani ya pantoni navuka kwenda ng'ambo ya pili nawauliza wenyeji wananiambia mbele yangu nasubiliwa na masaa matatu ya kukimbia kwenye lami ya kwenda kwao na Mh Magufuli.Ninachompongeza Mh ni jinsi gani alivyoboresha suala la tiketi za kielectroniki tofauti na awali unaambiwa watumishi wa Temesa walikuwa na kaescrow kao hapo.Bado nipo katikati ya maji ikiwa ni mara yangu ya kwanza kabisa kusafiri na chombo kinachotumia maji kama sehemu ya barabara yake.WanaJf wa Chato naombeni mnipokee jamani.
 
Kuanzia saa saba mchana unasuburi kivuko mpaka saa mbili usiku? Kulikuwa na tatizo gani mkuu?
 
​sawa kiongozi kapambane ili kuleta ukombozi huko hata kama kaleta lami
 
Pole mkuu kwa safari ila safari bado ni ndefu. Usishangae ukifika Geita mida ya usiku ukazuiwa kuendelea na safari na polisi eti kuna msitu hapo mbele kidogo unaitwa Samina huwa kuna majambazi! sijui kama polisi wameacha mchezo huo,tuliwahi kuzuiwa hapo siku moja mida ya saa moja. Nilishangaa sana polisi anakuambia haturuhusu kwa sababu kuna majambazi huko mbele,sasa kazi ya polisi ni nini? Ta Kamugisha msitu wa Samina siku hizi ni salama?
 
Kwa tiketi za kielectronic imekaa vizuri tatizo ni waziri amegeuza kivuko kama mali yake binafsi akiwa anatoka dsm kivuko hakiruhusiwi kutembea kinamgonja mpaka afike, akiwa anatoka Chato kwao sio kwake mtasubiri masaa mawili jamaa akifika kinamvusha ndo wa senge wengine wa Tanganyika mnaruhusiwa ku-move na kivuko. unasikia wahudumu wa kivukoni wanazuga kivuko ni kibovu akija na kuvushwa route zinaendelea kivuko kinapona.
 
Nimeianza safari mapema leo asubuhi nikiwa njia moja kwendda kulitumikia Taifa langu baada ya kuhamishwa kituo changu cha kazi kutoka Wilaya ya Serengeti kwenda Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita niko ndani ya lori ndogo aina ya Canter ikiwa na vyombo vyangu nimefika Mwanza nikafanya mahitaji baadae njia. moja kwenda kivukoni nimetumia kivuko cha Kigongoni-Busisi.Duh saa saba mchana nilikuwa tayari kwenye foleni ya kuvushwa ila sasa tokea saa saba mchana hadi hivi sasa saa mbili kamili usiku ndio niko ndani ya pantoni navuka kwenda ng'ambo ya pili nawauliza wenyeji wananiambia mbele yangu nasubiliwa na masaa matatu ya kukimbia kwenye lami ya kwenda kwao na Mh Magufuli.Ninachompongeza Mh ni jinsi gani alivyoboresha suala la tiketi za kielectroniki tofauti na awali unaambiwa watumishi wa Temesa walikuwa na kaescrow kao hapo.Bado nipo katikati ya maji ikiwa ni mara yangu ya kwanza kabisa kusafiri na chombo kinachotumia maji kama sehemu ya barabara yake.WanaJf wa Chato naombeni mnipokee jamani.

ila chato pamechoka mkuu mahali pazuri ni ofisi za hamshauri tu kwingine ni uchuro, mugumu serengeti ni new york kwa chato
 
watu wa kanda ya ziwa huwa hawapatengenezi kwao..

karibuni vijiji vya kanda ya kaskazini muone mfano..

kanda ya ziwa imejaa wezi tu wanahojumu taifa letu lakini hawana akili ya kupajenga kwao.. kwanza hawapendani. hata ndugu kwa ndugu hawasaidiani... majizi makubwa yakiongozwa na chenge, maswi, werema, muhongo, tibaijuka na mpiga domo magufuli... mshamba wa kutoka chato anaeogopa makampuni makubwa kama Strabag.. alinywea project nzima ya ujenz wa brt kama hayupo vile.. jibwa koko hili linaonea vikampuni vidogo

kwa strabag mkia nyuma
 
ila chato pamechoka mkuu mahali pazuri ni ofisi za hamshauri tu kwingine ni uchuro, mugumu serengeti ni new york kwa chato

Tobaaa mugumu na serengeti ni new york kwa chato uwiii,nilikuwa mgumu mwaka 2004/2005 kipindi hicho hakukuwa na umeme sasa hivi nasikia kuna umeme kweli siku hazigandi,kuna baa moja inaitwa tanzanite hapo mugumu sijui bado ipo tulikuwa tunajidai hapo maana kulikuwa na generator na kulikuwa na nyama choma safii aisee nimiukumbuka sana mugumu,rubanda,ndabaka gate bunda.
 
Kimsingi Chato ni shimoni
 
Pole mkuu kwa safari ila safari bado ni ndefu. Usishangae ukifika Geita mida ya usiku ukazuiwa kuendelea na safari na polisi eti kuna msitu hapo mbele kidogo unaitwa Samina huwa kuna majambazi! sijui kama polisi wameacha mchezo huo,tuliwahi kuzuiwa hapo siku moja mida ya saa moja. Nilishangaa sana polisi anakuambia haturuhusu kwa sababu kuna majambazi huko mbele,sasa kazi ya polisi ni nini? Ta Kamugisha msitu wa Samina siku hizi ni salama?

Duh uhai hauuzwi dukani kaka nikiwa Geita mjini nikawasiliana na mdau wangu yuko Katoro akanikataza nisiendelee na safari akaniambia kuna msitu mrefu mbele ambao gari itatumia kama saa nzima kuumaliza nilikuwa nimekwishaondoka mjini Geita kama km saba hivi nikaamua kugeuza nimelala Geita kesho mapema alfajiri niimalizie safari.
 
Tobaaa mugumu na serengeti ni new york kwa chato uwiii,nilikuwa mgumu mwaka 2004/2005 kipindi hicho hakukuwa na umeme sasa hivi nasikia kuna umeme kweli siku hazigandi,kuna baa moja inaitwa tanzanite hapo mugumu sijui bado ipo tulikuwa tunajidai hapo maana kulikuwa na generator na kulikuwa na nyama choma safii aisee nimiukumbuka sana mugumu,rubanda,ndabaka gate bunda.

Ahahaaaaaa acha kunikumbusha tena huko nitapamiss sana uko kampuni gani wewe ya utalii?
 
Maisha popote kachape kazi. ukipata kampani ya mwana jf maisha muruwa tu
 
Back
Top Bottom