Asante Magufuli ila chamoto nimekiona

Asante Magufuli ila chamoto nimekiona

Nimeamkiaa safari toka Geita nilikolala saa kumi na moja alfajjiri sasa ni saa moja kamili ndo nawasiri Chato
 
Duh uhai hauuzwi dukani kaka nikiwa Geita mjini nikawasiliana na mdau wangu yuko Katoro akanikataza nisiendelee na safari akaniambia kuna msitu mrefu mbele ambao gari itatumia kama saa nzima kuumaliza nilikuwa nimekwishaondoka mjini Geita kama km saba hivi nikaamua kugeuza nimelala Geita kesho mapema alfajiri niimalizie safari.

Amekudanganya siku hizi baada ya kuwekwa lami hakuna kutekwa tena, na hapo mpaka katoro ni dk 30 tu na siyop saa moja ila sisis wa kujitungua tunatumia dkl 20 tu
 
Mama yangu weeeh! kumbe Chato ni shimoni, mdogo wangu kapangiwa huko kama Clinical Officer.... Ngoja nimpigie cm arudi fasta.
 
Maajabu kumbe wana jf tunaogopana! KIBURUDISHO kafikahapa chato pamoja na kumkaribisha ameshindwa hata kunitafuta! Aya namtakia maisha mema hapa chato
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom