Asante M-PESA kwa gawio

Leo ilikua Siku ya gawio LA mpesa.Mimi nimepewa 50 wewe je.
Mimi nimepata 550/=! kama kichekesho vile. Nikikumbuka miamala ambayo nimeishafanya toka gawio la mara ya mwisho, naona kama kichekesho vile.
Naona ni kama wanafanya miamala hamsini gawio ni shilingi 20!!
Wazo lako ni jema sana.
Bora wazikusanye wazipeleke kwenye nyumba za yatima!
 
2632 nimepata nimeshangaa sikujuwa ya nini labda walicharge kimakosa sikujuwa ni gawio
 
Wamenipa 670...hizi fedha ni bora wasitupe wateja bali walipeleke kwenye huduma za kijamii kama zahanati,shule,yatima n.k
 
Ee unafikiri pesa inakaa tu mpesa kuwapa watu faida, pesa inazunguka kuleta myingine mkuu, umeweka laki mpesa mwezi, unapata gawio la 2000, ungeizungusha hiyo unapata kiasi gani
Amekufahamisha tu jinsi ya kupata gawio ni hiari yako kuweka au kutoweka.
 
Kwa hiyo tuachane na benki?
 
Mimi??? Bukoba? Hapana asee. Sina hata mpango wa kufika huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…