Asante kwa kuniwezesha kuvunja rekodi

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Hakuna kitu kizuri kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/Gossips kama watu ku-comment thread yako. Ukiwa kama ndugu/jamaa/rafiki/mdau wangu wa karibu, naomba uko-comment chochote kile ili nivunje rekodi ya kutoa thread yenye comments nyingi kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/gossips.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako
 
Unatulipa au? Umaarufu kupitia vidole vyetu babu weee tuacheeee

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mi nitakuwa nacommnte

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
sidhani coz wakicomment 300 tu hizo ni comments 300, hili jukwaa lina wapenzi zaidi ya 50,000
 
farkhina unapenda kuwa against eeeeh

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Eliah G Kamwela says sorry for this very kilazaful post.
Hakuna kitu kizuri kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/Gossips kama watu ku-comment thread yako. Ukiwa kama ndugu/jamaa/rafiki/mdau wangu wa karibu, naomba uko-comment chochote kile ili nivunje rekodi ya kutoa thread yenye comments nyingi kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/gossips.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako
 
Upo Thawa kabisa, jaribu bahati yko hapa. NTAJIE JINA LA 3 LA MPNZ WKO WA KWANZA ALIEKUGEUZA ***** wa kuleta thred hii humu Jamvini... MWEHU WE! Japo nmekuongezea idadi.
 
Inabidi Wewe na Pilau muanzishiwe jukwaa lenu la matusi ili muwe mnatukanana alone
 
Back
Top Bottom