Asante kwa kuniwezesha kuvunja rekodi

Asante kwa kuniwezesha kuvunja rekodi

sor mkuu,nlkupotezea idadi nljkuta nataman kuiba ile post ya kwanza,haya hyo hapo!
 
Dah! Hii nayo ni ya aina yake,
hapa sikoment kitu
 
Hakuna kitu kizuri kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/Gossips kama watu ku-comment thread yako. Ukiwa kama ndugu/jamaa/rafiki/mdau wangu wa karibu, naomba uko-comment chochote kile ili nivunje rekodi ya kutoa thread yenye comments nyingi kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/gossips.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako

Hii inaFanaNa nA ile haDithi ya AbunuWasi kujenGa nyumBa angaNi.
 
Sidhani kama ulikaa chini kwanza ukafikiri kabla ujachukua uamuzi wa kutupia uzi huu.Ila mvumilivu ula mbivu vumilia tu.
 
Back
Top Bottom