Asante JF Founder

Asante JF Founder

Mshuwa

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
46
Reaction score
10
Asanteni Jf founder kwa kunikutanisha with woman i have been dreaming to be with.

A woman who knows how to put down her education level, her family wealth, her job title, her beautness, her level of income to maintain friendship.
A woman who knows that no one is perfect but who beleive that through making mistakes we grow.
A woman who understands a fear of God.
A woman who believes in naturality.
A woman who knows the meaning and value of the word Sorry
A caring, loving, loyal, honest, trustful.

cutetoto am proud for having you. I believe through you i will sense na feel the happiness of our friendship.

wawooooo.
Thank you JF
 
Duh...kumbe watu wanaopoa humu, sie tumebaki tunang'aa ng'aa macho! Ngoja nami nianze kuwa 'mgaa gaa na upwa...'!
hakika hutakula wali mkavu rafiki!ila tu ukishampata naomba uniPM ili nimpe kabisa mwongozo wa majina ya kukuita ili alambe kavitz mapema iwezekanavyo!
 
Naomba ufafanuzi kidogo kuhusu hatua (mafanikio) mliyofikia baada ya kukutanishwa, maana dunia ya leo unaweza hata kukutana na 'malaika' lakini usiambulie kitu.
Ufafanuzi huo utanifanya niache kushangaashangaa, nasema hivyo kwa kuwa wezi wengi wameibukia kwenye mitandao ya kijamii.
 
Picha please wengine maneno huwa hutuelewi kwa haraka.....
 
Ina maana woote wanaokufuata kukuuliza
maswala ya magonjwa huja opoa hata mmoja?

au unafikiri wote ni wagonjwa kweli?
wengine wanajileta kubahatisha vitz uliyoahidi hapa lol

Maadili yanabana...haturuhusiwi kuwa na uhusiano wa kiMapenzi na wagonjwa wetu!

Halafu si unajua tena sie waChagga kutongoza zero...unahonga weeee, mpaka mwenyewe akuonee huruma!
 
jamaan mnapataje wenza wakati watu awawek picha ata majina si yao,wengine wanaume lakin utumia majina ya kike,au ndio kubahatisha
 
Mmmmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!! Yaaaaaani Kukuchuna kidogo tu ndo Umeshaweka Mabango???????? Je nikikupa si UTAENDA ITV!!!!!!!!!!!!!!! (NAKUTANIA TU MKUUUU!!!!!!!!!!)

Anyway Hongera sanaaaaa! YAANI MEMBER TU UMESHAOPOA!!!!!!!!!!!!!!! WAPI GOLD, BRONZE,TANZANITE NA PLATINUM MEMBERS!!!!!!!!!!!!! Jukwaa limejibu???????????
 
Back
Top Bottom